Wasalaam,
Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar. nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu. Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa njia hizo, anisaidie , na naamini wengi pia bila shaka watasaidika na njia ambazo tunaweza kuondoka na tatizo la mbu majumbani kwetu,
Natangulia shukrani zangu za dhati.
Hili suala la Mmbu Miaka ya 80s na 90s lilipata Suluhisho kwa Kupuliziwa Dawa Mitaani Dawa ya DDT (Kama Sijakosea), Shida kubwa ikaja ni ujuaji wa Wasomi wetu uchwara ambao walishauri upulizaji wa Dawa hiyo usitishwe sababu ya madhara kwa wananchi wakati huo, cha ajabu hawakuja na nini mmbadala wa walichokikataza! Matokeo yake hadi leo bado tunahangaika na Mbu! Nchi nyingi walifanikiwa kutokomeza mmbu walitumia dawa hiyo. Yaani saivi ilitakiwa hata NZi wawe Maabara tu kwa ajili ya ufundishaji na sio kuwa Sehemu ya Maisha yetu.Wasalaam,
Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar.
Nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa njia hizo, anisaidie na naamini wengi pia bila shaka watasaidika na njia ambazo tunaweza kuondoka na tatizo la mbu majumbani kwetu.
Natangulia shukrani zangu za dhati.
Mbu wakiisha dawa za malaria hazitouzika na sumu za kuua mbu kina rungu na wenzie hazitouzikaHili suala la Mmbu Miaka ya 80s na 90s lilipata Suluhisho kwa Kupuliziwa Dawa Mitaani Dawa ya DDT (Kama Sijakosea), Shida kubwa ikaja ni ujuaji wa Wasomi wetu uchwara ambao walishauri upulizaji wa Dawa hiyo usitishwe sababu ya madhara kwa wananchi wakati huo, cha ajabu hawakuja na nini mmbadala wa walichokikataza! Matokeo yake hadi leo bado tunahangaika na Mbu! Nchi nyingi walifanikiwa kutokomeza mmbu walitumia dawa hiyo. Yaani saivi ilitakiwa hata NZi wawe Maabara tu kwa ajili ya ufundishaji na sio kuwa Sehemu ya Maisha yetu.
Nasubiri majibu, hakuna viumbe wanaokera kama hao na hakuna Kitu kinachoniudhi km kulala kwenye chandarua
Yani ni shida. Huwezi hata kukaa nje ya kuanzia jioni. Goba kuna mbu balaa.Wasalaam,
Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar.
Nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa njia hizo, anisaidie na naamini wengi pia bila shaka watasaidika na njia ambazo tunaweza kuondoka na tatizo la mbu majumbani kwetu.
Natangulia shukrani zangu za dhati.
Eti nini?Mbu wa siku hizi hawana madhara walishapunguzwa makali
CCM wamesema tuwaache mbu wale kwa urefu wa kamba zao.Wasalaam,