Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi dawa za kupaka mosquito repellent moja ya material yake ni michaichai,,Wasalaam,
Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar.
Nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa njia hizo, anisaidie na naamini wengi pia bila shaka watasaidika na njia ambazo tunaweza kuondoka na tatizo la mbu majumbani kwetu.
Natangulia shukrani zangu za dhati.