Ni zipi njia za kudumu za kuondokana na tatizo la mbu?

Kamata mmoja then mwadhibu mbele ya kadamnasi, hapo na wengine watakuogopa
 
Hizi dawa za kupaka mosquito repellent moja ya material yake ni michaichai,,
Kuna vifaa vya umeme huwa vinavuta na kuwanasa mbu.
Kama sikosei kuna apps za kutoa milio fulani ambayo, mbu hawapendi, etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…