Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana.
Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja vizuri mno kwenye safu ya juu ya uongozi chadema kitaifa.
Ni muungwana asie mbishi wala king'ang'anizi kwa asichokua na uhakika au uwezo nacho, iwe ni kwa fikra, fedha au mali.
Hapendi rushwa, udanganyifu wala kupepesa macho kusema ukweli. daima ni muwazi..
Ni jasiri asie fadhiliwa fikra, hoja wala mikakati kutoka kwa mabwenyenye wa ndani au nje ya nchi kama walivyo wengine chamani, si mlevi wa sifa, hana uchu wala tamaa ya vyeo na madaraka. Ni mwana demokrasia asiyekuwa na majivuno, asiyeringa wala kutia huruma au kuhitaji kuomba huruma ya wanachama kwa chochote.
Anajitegemea, anajitosheleza, ana uwezo na anajiamini vya kutosha kubeba dhamana nzito na muhimu sana ya uongozi CHADEMA.
Kusema ukweli jamaa amejipanga..
Si muoga, Ni msomi mwenye sifa na vigezo muhimu vya uongozi katika siasa, ni mzoefu mwenye hekima na busara katika uongozi kisiasa nchini, na ni mpambanaji makini asie choka wala kukata tamaa..
Ni mpinga rushwa, uonevu, ubaguzi na upendeleo kazini.
Ni mtu wa kusema na kutenda tofauti na wengine kutwa kucha asubuh mpka usiku ni maneno tu na hakuna hatua wanachuka wala kitu wanafanya.
Ni mwanamageuzi anaekwenda kuibadili sura na hali ya Chadema kutoka Taasisi binafsi ya kiuchumi, hadi Taasisi ya umma wa wana chadema yenye lengo na nia ya dhati ya kushiriki siasa kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi.
Ni muhimu chadema wakawa watulivu, wakawa wamoja zaidi na kujipanga nyuma ya huyu muungwana Ezekia Wenje katika azma yake ya kua makamu mwenyekiti wa chadema Taifa Uchaguzi wa chama ujao...
E. Wenje can negotiate, E Wenje is able and capable of transforming Chadema into prosperous and vibrant opposition political party again 🐒
Mungu ibariki Tanzania