Pre GE2025 Nia ya Ezekia Wenje CHADEMA kisiasa, ni kama sauti ya mtu aliaye nyikani tengenezeni njia, yanyoosheni mapito yake ni mwana mageuzi mwema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana.

Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja vizuri mno kwenye safu ya juu ya uongozi chadema kitaifa.

Ni muungwana asie mbishi wala king'ang'anizi kwa asichokua na uhakika au uwezo nacho, iwe ni kwa fikra, fedha au mali.

Hapendi rushwa, udanganyifu wala kupepesa macho kusema ukweli. daima ni muwazi..

Ni jasiri asie fadhiliwa fikra, hoja wala mikakati kutoka kwa mabwenyenye wa ndani au nje ya nchi kama walivyo wengine chamani, si mlevi wa sifa, hana uchu wala tamaa ya vyeo na madaraka. Ni mwana demokrasia asiyekuwa na majivuno, asiyeringa wala kutia huruma au kuhitaji kuomba huruma ya wanachama kwa chochote.

Anajitegemea, anajitosheleza, ana uwezo na anajiamini vya kutosha kubeba dhamana nzito na muhimu sana ya uongozi CHADEMA.

Kusema ukweli jamaa amejipanga..

Si muoga, Ni msomi mwenye sifa na vigezo muhimu vya uongozi katika siasa, ni mzoefu mwenye hekima na busara katika uongozi kisiasa nchini, na ni mpambanaji makini asie choka wala kukata tamaa..

Ni mpinga rushwa, uonevu, ubaguzi na upendeleo kazini.
Ni mtu wa kusema na kutenda tofauti na wengine kutwa kucha asubuh mpka usiku ni maneno tu na hakuna hatua wanachuka wala kitu wanafanya.

Ni mwanamageuzi anaekwenda kuibadili sura na hali ya Chadema kutoka Taasisi binafsi ya kiuchumi, hadi Taasisi ya umma wa wana chadema yenye lengo na nia ya dhati ya kushiriki siasa kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi.

Ni muhimu chadema wakawa watulivu, wakawa wamoja zaidi na kujipanga nyuma ya huyu muungwana Ezekia Wenje katika azma yake ya kua makamu mwenyekiti wa chadema Taifa Uchaguzi wa chama ujao...

E. Wenje can negotiate, E Wenje is able and capable of transforming Chadema into prosperous and vibrant opposition political party again 🐒

Mungu ibariki Tanzania
 
Lissu anadhani ile dhambi ya kutaka kumuondoa mfalme wa chadema waliyoipanga na Msigwa imesamehewa, hiyo anaonyeshwa indiketa tu kabla ya kuanza kufurumushiwa makombora.
 
ni mwana mikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anaejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana...
naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja vizuri mno kwenye safu ya juu ya uongozi chadema kitaifa..

ni muungwana asie mbishi wala king'ang'anizi kwa asichokua na uhakika au uwezo nacho. iwe ni kwa fikra, fedha au mali..
hapendi rushwa, udanganyifu wala kupepesa macho kusema ukweli. daima ni muwazi..

ni jasiri asie fadhiliwa fikra, hoja wala mikakati kutoka kwa mabwenyenye wa ndani au nje ya nchi kama walivyo wengine chamani, si mlevi wa sifa, hana uchu wala tamaa ya vyeo na madaraka. ni mwana demokrasia asi kua na majivuno, asie ringa wala kutia huruma au kuhitaji kuomba huruma ya wanachama kwa chochote..
anajitegemea, anajitosheleza, ana uwezo na ana jiamini vya kutosha kubeba dhamana nzito na muhimu sana ya uongozi chadema...
kusema ukweli jamaa amejipanga..

si muoga,
ni msomi mwenye sifa na vigezo muhimu vya uongozi katika siasa, ni mzoefu mwenye hekima na busara katika uongozi kisiasa nchini, na ni mpambanaji makini asie choka wala kukata tamaa..

ni mpinga rushwa, uonevu, ubaguzi na upendeleo kazini.
ni mtu wa kusema na kutenda tofauti na wengine kutwa kucha asubuh mpka usiku ni maneno tu na hakuna hatua wanachuka wala kitu wanafanya..

ni mwana mageuzi anaekwenda kuibadili sura na hali ya Chadema kutoka Taasisi binafsi ya kiuchumi, hadi Taasisi ya umma wa wana chadema yenye lengo na nia ya dhati ya kushiriki siasa kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi.

ni muhimu chadema wakawa watulivu, wakawa wamoja zaidi na kujipanga nyuma ya huyu muungwana Ezekia Wenje katika azma yake ya kua makamu mwenyekiti wa chadema Taifa Uchaguzi wa chama ujao...

E.wenje can negotiate, E wenje is able and capable of transforming chadema into prosperous and vibrant opposition political party again 🐒

Mungu ibariki Tanzania
naunga mkono hoja
p
 
Naanza kupata picha ya mpambano kati Nkuba na Mwabukusi jinsi ilivyokuwa. Lakini mwisho wa siku huwa ni chaguo la wanachama wenyewe. kupitia mchakato wa kidemokrasia. Chama makini kama CDM huwa hakikurupuki kimaamuzi, nafikiri somo zuri tulilipata kwa Mch. Msigwa.

Wote wawili wana haki sawa ya kutia nia katika kinyang'anyiro cha nafasi yoyote ile ya uongozi ndani ya CDM. Kwa sasa Lissu bado hajatoa tamko kuhusu nafasi ya uongozi ambayo atatia nia, kwa hiyo basi ni vyema tusubiri kwanza, muda ndio ambao utaamia.
 
Lisu Kawa bubu ghafla baada ya kusikia kuna mtu anagombea nafasi yake ya umakamu mwenyekiti

Timu Mbowe Kwa jinsi walivyojipanga Lisu anaenda kupigwa chini kwenye uchaguzi
 
LISU abakie kuwa mjumbe kamati kuu
 
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana.

Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja vizuri mno kwenye safu ya juu ya uongozi chadema kitaifa.

Ni muungwana asie mbishi wala king'ang'anizi kwa asichokua na uhakika au uwezo nacho, iwe ni kwa fikra, fedha au mali.

Hapendi rushwa, udanganyifu wala kupepesa macho kusema ukweli. daima ni muwazi..

Ni jasiri asie fadhiliwa fikra, hoja wala mikakati kutoka kwa mabwenyenye wa ndani au nje ya nchi kama walivyo wengine chamani, si mlevi wa sifa, hana uchu wala tamaa ya vyeo na madaraka. Ni mwana demokrasia asiyekuwa na majivuno, asiyeringa wala kutia huruma au kuhitaji kuomba huruma ya wanachama kwa chochote.

Anajitegemea, anajitosheleza, ana uwezo na anajiamini vya kutosha kubeba dhamana nzito na muhimu sana ya uongozi CHADEMA.

Kusema ukweli jamaa amejipanga..

Si muoga, Ni msomi mwenye sifa na vigezo muhimu vya uongozi katika siasa, ni mzoefu mwenye hekima na busara katika uongozi kisiasa nchini, na ni mpambanaji makini asie choka wala kukata tamaa..

Ni mpinga rushwa, uonevu, ubaguzi na upendeleo kazini.
Ni mtu wa kusema na kutenda tofauti na wengine kutwa kucha asubuh mpka usiku ni maneno tu na hakuna hatua wanachuka wala kitu wanafanya.

Ni mwanamageuzi anaekwenda kuibadili sura na hali ya Chadema kutoka Taasisi binafsi ya kiuchumi, hadi Taasisi ya umma wa wana chadema yenye lengo na nia ya dhati ya kushiriki siasa kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi.

Ni muhimu chadema wakawa watulivu, wakawa wamoja zaidi na kujipanga nyuma ya huyu muungwana Ezekia Wenje katika azma yake ya kua makamu mwenyekiti wa chadema Taifa Uchaguzi wa chama ujao...

E. Wenje can negotiate, E Wenje is able and capable of transforming Chadema into prosperous and vibrant opposition political party again 🐒

Mungu ibariki Tanzania
Hahahahahahahaha
 
As long wanasisiemu mnafurahia basi tayari kuna walakini kwenye hiyo nia😀😀😀
 
Tayari umeshamharibia yaani CCM impendekeze mtu ambaye siyo pandikizi lao?
 
chama dhaifu pekee ndiyo kinaweza kutokuamini wanachama wake...

kitaalamu na kibobevu maoni na mtazamo wangu hauna athari zozote za kisiasa kwa mwanasiasa yeyote japo wengi sana wamefanikiwa kisiasa kwa kuzingatia makala na mada zangu kadha wa kadha za kisiasa 🐒
 
Makala zako nzuri ila zina nia ovu kwa walengwa. Ni kama unaweka sumu kwenye asali.
 
Back
Top Bottom