EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Nipo kwenye mkakati wa kuyafungulia mashtaka haya makampuni mawili ya Fedha kwa kuniibia MB bila ridhaa yangu maana kila nikiwasha data, wananijazia matangazo yao tena yana-play automatic hivyo kula MB
nipo katika mkakati wa kutafuta mwanasheria.
MLIO KARIBU NAO WAFIKISHIENI SALAMU ZANGU.
Ila ni maada sahihi kwa wakati sahihi na kwenye jukwaa sahihi
Ukienda kuwashtaki nisaidie na mm kunishatakia tigo wananitumia messages pasipo ridhaa yangu wananipigia na matangazo tao wanavyotaka mpaka inanibidi simu kuweka silent nikiogopa kuumbuka mbele za watu
Happy belated birthday shunie..Wananisaidiaga nikiwa na shida zangu
Hapa yenyewe wananidai mwezi ujao
Aww thank u fisadi [emoji8][emoji8][emoji8]Happy belated birthday shunie..
SHENZI SANA HAWA JAMAAby registering you agree with tala terms&conditions na blah blah nyingine wewe huwa una click tu bila kusoma vigezo na masharti? na mashrti yenyewe ndo kama hayo
mkuu hapo unakuta hujajiunga na huna huo mpango, ukiwasha data tuu Tala ,Branch , five to ten secs linakuwa na option ya kuskip , shenzi zaoby registering you agree with tala terms&conditions na blah blah nyingine wewe huwa una click tu bila kusoma vigezo na masharti? na mashrti yenyewe ndo kama hayo
Nilikaa na deni yule mkaka akanipigia kuniuliza nitalipa lini deni lao.Wananisaidiaga nikiwa na shida zangu
Hapa yenyewe wananidai mwezi ujao
Mm nawalipa ndani ya mda huwa wananisaidia sanaaa nikiwa na shida mamaNilikaa na deni yule mkaka akanipigia kuniuliza nitalipa lini deni lao.
Nikamwambia hapa niliki niko Airport naenda Uk.
Na namba nabadili, labda nikirudi.
Ila sie wakopaji samtaim jeuri sana tupatapo mkopo
Nilishawalipa, si unajua peda ikiwa mkononi unapiga mkwara tuMm nawalipa ndani ya mda huwa wananisaidia sanaaa nikiwa na shida mama
Jitahidi uwalipe bwana
Hahaha.... Nimecheka mno aiseeeh. Yaani kukopa arusi kulipa matanga lolNilikaa na deni yule mkaka akanipigia kuniuliza nitalipa lini deni lao.
Nikamwambia hapa niliko niko Airport naenda Uk.
Na namba nabadili, labda nikirudi.
Ila sie wakopaji samtaim jeuri sana tupatapo mkopo
Shikamoo aunt.Wananisaidiaga nikiwa na shida zangu
Hapa yenyewe wananidai mwezi ujao
Umefikia wanakupa sh ngapi?Mm nawalipa ndani ya mda huwa wananisaidia sanaaa nikiwa na shida mama
Jitahidi uwalipe bwana