Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
HahahahaShikamoo aunt.
Nipo kwenye laki mama
Na mm nikupe heri ya mwaka mpya eenh
hahaha... insta babe tulishapeana mbona [emoji23][emoji23]..ila sio mbaya tukipeana tena...heri ya mwaka mpya insta babe [emoji23][emoji23]Na mm nikupe heri ya mwaka mpya eenh
Hapana auntie, sababu umekuwa adimu mnooo.Hahahaha
Auntie hii shikamoo sababu ya kudaiwa na tala au
Auntie yangu nimekuwa adimu nipo kwenye mfungo hii week ikiisha utaniona mpaka utanichoka mama angu nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8]Hapana auntie, sababu umekuwa adimu mnooo.
Kudaiwa vitu vya kawaida hivyo. Inadaiwa nchi sembuse wewe auntie!!!
hahaha... insta babe tulishapeana mbona [emoji23][emoji23]..ila sio mbaya tukipeana tena...heri ya mwaka mpya insta babe [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
asanteeeee insta babe [emoji23]Hahhahahah asante insta baby na kwako pia
[emoji120][emoji120][emoji120]Auntie yangu nimekuwa adimu nipo kwenye mfungo hii week ikiisha utaniona mpaka utanichoka mama angu nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mfungo mwema mama.
Nakupenda pia.
We acha tu.Hahaha.... Nimecheka mno aiseeeh. Yaani kukopa arusi kulipa matanga lol
PM yangu pleaseWe acha tu.
Mi niliwakopa sh10000 waliniambia riba ni tsh1780 nikaona sio kesi. baadae nikaweka tsh 13000 ili wakate deni lote. lakini haikuwa hivyo kila nikisend muamala unarudi eti kiwango hakitoshi. kwa hasiri nikaamua kuwachunia. Basi nilijuta sms za kudai hela yao zinakuja kama mvua. nikamua kuwaongeza tena 1000 ikawa 14000 ndio wakaniambia asante kwa malipo yako unaweza kukoa tena. nikawatuka na app yao nikatoa katka simu yangu. hao walikuwa blanch. wezi balaa.Nipo kwenye mkakati wa kuyafungulia mashtaka haya makampuni mawili ya Fedha kwa kuniibia MB bila ridhaa yangu maana kila nikiwasha data, wananijazia matangazo yao tena yana-play automatic hivyo kula MB
nipo katika mkakati wa kutafuta mwanasheria.
MLIO KARIBU NAO WAFIKISHIENI SALAMU ZANGU.
Mleta mada hapo tatizo siyo wao,Nipo kwenye mkakati wa kuyafungulia mashtaka haya makampuni mawili ya Fedha kwa kuniibia MB bila ridhaa yangu maana kila nikiwasha data, wananijazia matangazo yao tena yana-play automatic hivyo kula MB
nipo katika mkakati wa kutafuta mwanasheria.
MLIO KARIBU NAO WAFIKISHIENI SALAMU ZANGU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi niliwakopa sh10000 waliniambia riba ni tsh1780 nikaona sio kesi. baadae nikaweka tsh 13000 ili wakate deni lote. lakini haikuwa hivyo kila nikisend muamala unarudi eti kiwango hakitoshi. kwa hasiri nikaamua kuwachunia. Basi nilijuta sms za kudai hela yao zinakuja kama mvua. nikamua kuwaongeza tena 1000 ikawa 14000 ndio wakaniambia asante kwa malipo yako unaweza kukoa tena. nikawatuka na app yao nikatoa katka simu yangu. hao walikuwa blanch. wezi balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada hapo tatizo siyo wao,
Kuna application ume install kwenye simu yako na iko na hizo ads, jaribu kupunguza apps zisizokuwa na maana utaona hakuna tena hizo ads.
Wananisaidiaga nikiwa na shida zangu
Hapa yenyewe wananidai mwezi ujao