NIA YA KUWASHTAKI TALA NA BRANCH TANZANIA

Hahahaha
Auntie hii shikamoo sababu ya kudaiwa na tala au
Hapana auntie, sababu umekuwa adimu mnooo.
Kudaiwa vitu vya kawaida hivyo. Inadaiwa nchi sembuse wewe auntie!!!
 
Auntie yangu nimekuwa adimu nipo kwenye mfungo hii week ikiisha utaniona mpaka utanichoka mama angu nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8]
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Mfungo mwema mama.
Nakupenda pia.
 
Nipo kwenye mkakati wa kuyafungulia mashtaka haya makampuni mawili ya Fedha kwa kuniibia MB bila ridhaa yangu maana kila nikiwasha data, wananijazia matangazo yao tena yana-play automatic hivyo kula MB
nipo katika mkakati wa kutafuta mwanasheria.

MLIO KARIBU NAO WAFIKISHIENI SALAMU ZANGU.
Mi niliwakopa sh10000 waliniambia riba ni tsh1780 nikaona sio kesi. baadae nikaweka tsh 13000 ili wakate deni lote. lakini haikuwa hivyo kila nikisend muamala unarudi eti kiwango hakitoshi. kwa hasiri nikaamua kuwachunia. Basi nilijuta sms za kudai hela yao zinakuja kama mvua. nikamua kuwaongeza tena 1000 ikawa 14000 ndio wakaniambia asante kwa malipo yako unaweza kukoa tena. nikawatuka na app yao nikatoa katka simu yangu. hao walikuwa blanch. wezi balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada hapo tatizo siyo wao,

Kuna application ume install kwenye simu yako na iko na hizo ads, jaribu kupunguza apps zisizokuwa na maana utaona hakuna tena hizo ads.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bos hadi nimefanya factory reset simu yangu ndo yamepungua sio kuisha

Back
Top Bottom