kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mods naomba heading isomeke nimeachana na ..
Naam wapendwa, naombeni ushauri wenu tafadhari.., niliachana aliyekuwa mke wangu hambaye tulizaa watoto wawili baada ya kufanyiana matukio mazito ya kutosha., aliniachia watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana miaka 4 ,kimsingi ni wadogo bado, baada ya kuachana nae sikuchelewa sana,nikatafuta mke mwingine nikaona hambaye naishi nae mpaka Sasa tukiendelea kuwalea watoto wawili alioniachia bibi mkubwa.,ikumbukwe katika mahusiano yetu Mimi na x wangu nilifanikiwa kununua viwanja viwili ..,na aliniwekea sahihi zake katika hati/ barua za kununua viwanja Hivyo.,nyumba ya kuishi alikuta nimeshajenga., japo ni miezi miwili Sasa tangu arudi kwa wazazi wake na hatuna mawasiliano., lakini bado Nina wasiwasi huyu x wangu na wazazi wake wanapanga nini huko waliko.., Kwanza najua huenda Hawa watoto wachanga alioniachia hambao kwa Sasa nawalea na mke wangu wa Sasa watakuwa wanamuumuza huko aliko.., wasiwasi mwingine nilionao ni kwamba
Je akija kudai kuwachukua watoto wake atakuja kwa namna gani??
Japo hatukufunga ndoa, je akienda kudai taraka mahakamani itakuwaje??
Kuna bahadhi ya wananzengo wananiambia kwamba huyu mwanamke atarud na kudai amekuja kukaa na kulea watoto wake na serikali itamsikiliza🤷🤷🤷
Naombeni sana ushauri wapendwa.,nawezaje kuweka tahadhari juu ya jambo lolote analoweza kufanya huyu mwanamke katika siku zijazo..,ingawaje sijui hata ataibukia wapi.,
Natanguliza shukrani 🙏🙏