kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
H h h hhh.
Hambaye, bahadhi.
Mzee unataka kutumaliza kwa pressure?? Maana tunasoma kwa kutumia nguvu sana.
Shukrani sana kiongozi.,binafsi naitaji sana watoto wangu niendelee kuwalea, lakini serikali ikiingilia Hilo lengo langu litatimia?Hama hapo papangishe, akidai mgao wake mpe, akitaka watoto usikubali, akitaka mrudiane basi sikiza moyo wako
Utaniwia radhi kiongozi., lakini ushauri wako naitaji sanaH h h hhh.
Hambaye, bahadhi.
Mzee unataka kumaliza kwa pressure?? Maana tunasoma kwa kutumia nguvu sana.
Serikali inamsikiliza mtu kisa karudi kulea watoto wake? Ushauri utaupata mwingi sana, akili za kuambiwa changanya na za kwakoMods naomba heading isomeke nimeachana na ..
Naam wapendwa, naombeni ushauri wenu tafadhari.., niliachana aliyekuwa mke wangu hambaye tulizaa watoto wawili baada ya kufanyiana matukio mazito ya kutosha., aliniachia watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana miaka 4 ,kimsingi ni wadogo bado, baada ya kuachana nae sikuchelewa sana,nikatafuta mke mwingine nikaona hambaye naishi nae mpaka Sasa tukiendelea kuwalea watoto wawili alioniachia bibi mkubwa.,ikumbukwe katika mahusiano yetu Mimi na x wangu nilifanikiwa kununua viwanja viwili ..,na aliniwekea sahihi zake katika hati/ barua za kununua viwanja Hivyo.,nyumba ya kuishi alikuta nimeshajenga., japo ni miezi miwili Sasa tangu arudi kwa wazazi wake na hatuna mawasiliano., lakini bado Nina wasiwasi huyu x wangu na wazazi wake wanapanga nini huko waliko.., Kwanza najua huenda Hawa watoto wachanga alioniachia hambao kwa Sasa nawalea na mke wangu wa Sasa watakuwa wanamuumuza huko aliko.., wasiwasi mwingine nilionao ni kwamba
Je akija kudai kuwachukua watoto wake atakuja kwa namna gani??
Japo hatukufunga ndoa, je akienda kudai taraka mahakamani itakuwaje??
Kuna bahadhi ya wananzengo wananiambia kwamba huyu mwanamke atarud na kudai amekuja kukaa na kulea watoto wake na serikali itamsikiliza🤷🤷🤷
Naombeni sana ushauri wapendwa.,nawezaje kuweka tahadhari juu ya jambo lolote analoweza kufanya huyu mwanamke katika siku zijazo..,ingawaje sijui hata ataibukia wapi.,
Natanguliza shukrani 🙏🙏
Hama hapo, akidai mali mpe kiwanja kimojaShukrani sana kiongozi.,binafsi naitaji sana watoto wangu niendelee kuwalea, lakini serikali ikiingilia Hilo lengo langu litati
Mkuu,bila shaka unaujua utaratibu wa ndoa za kikiristo,ni matangazo kama yote..,na lengo la matangazo hayo huenda ni kumjulisha mwenye dukuduku juu ya ndoa inayotarajiwa kufungwa basi atoe lake la moyoni..,na huu utaratibu wa matangazo ya ndoa huenda uliwekwa Ili kutukomoa wanaume waliopatwa na haya yaliyonitokea!Fanya kufunga ndoa haraka yeye awe mchepuko!
Cheti cha ndoa kina heshima yake kwenye hizi sheria uchwara za kumkandamiza mwanaume.
Shukrani sana kiongozi..,bado kinachoniuma ni watoto wangu.., akienda majukwaa kama ustawi wa jamii akaomba nimpe watoto wake alee si nitanyang'anywa!?Hama hapo, akidai mali mpe kiwanja kimoja
Swali, huyo x mlifunga ndoa au mlichkuana tu. Kama ni ndoa itakuwa ngumu kidogo kufunga ya pili harakaharaka ivo.Mods naomba heading isomeke nimeachana na ..
Naam wapendwa, naombeni ushauri wenu tafadhari.., niliachana aliyekuwa mke wangu hambaye tulizaa watoto wawili baada ya kufanyiana matukio mazito ya kutosha., aliniachia watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana miaka 4 ,kimsingi ni wadogo bado, baada ya kuachana nae sikuchelewa sana,nikatafuta mke mwingine nikaona hambaye naishi nae mpaka Sasa tukiendelea kuwalea watoto wawili alioniachia bibi mkubwa.,ikumbukwe katika mahusiano yetu Mimi na x wangu nilifanikiwa kununua viwanja viwili ..,na aliniwekea sahihi zake katika hati/ barua za kununua viwanja Hivyo.,nyumba ya kuishi alikuta nimeshajenga., japo ni miezi miwili Sasa tangu arudi kwa wazazi wake na hatuna mawasiliano., lakini bado Nina wasiwasi huyu x wangu na wazazi wake wanapanga nini huko waliko.., Kwanza najua huenda Hawa watoto wachanga alioniachia hambao kwa Sasa nawalea na mke wangu wa Sasa watakuwa wanamuumuza huko aliko.., wasiwasi mwingine nilionao ni kwamba
Je akija kudai kuwachukua watoto wake atakuja kwa namna gani??
Japo hatukufunga ndoa, je akienda kudai taraka mahakamani itakuwaje??
Kuna bahadhi ya wananzengo wananiambia kwamba huyu mwanamke atarud na kudai amekuja kukaa na kulea watoto wake na serikali itamsikiliza🤷🤷🤷
Naombeni sana ushauri wapendwa.,nawezaje kuweka tahadhari juu ya jambo lolote analoweza kufanya huyu mwanamke katika siku zijazo..,ingawaje sijui hata ataibukia wapi.,
Natanguliza shukrani 🙏🙏
Kama upo seriously na huyo mweza wako nenda kwa mkuu wa wilaya chapMkuu,bila shaka unaujua utaratibu wa ndoa za kikiristo,ni matangazo kama yote..,na lengo la matangazo hayo huenda ni kumjulisha mwenye dukuduku juu ya ndoa inayotarajiwa kufungwa basi atoe lake la moyoni..,na huu utaratibu wa matangazo ya ndoa huenda uliwekwa Ili kutukomoa wanaume waliopatwa na haya yaliyonitokea!
Beba mkeo nenda fungeni ndoa halmashauri asubuhi mapema mpitilize kwenye mishemishe zenuSwali, huyo x mlifunga ndoa au mlichkuana tu. Kama ni ndoa itakuwa ngumu kidogo kufunga ya pili harakaharaka ivo.
Pili mbona ulifanya haraka sana kupata mke wa pili inaonekana nawewe ulipanga muachane.
Kuhusu watoto akienda kwa mama gwajiboy anawachukua maana kisheria bado wanahitaji mama. Kuhusu mali ni maandishi ndiyo yanaongea.
Mwisho, maswala ya ndoa usitegemee ushauri mtandaoni.
Umesomeka vyemaMwanamke usiemuoa anadai vipi taraka?, Alafu hivyo ni vitu vya kawaida sana acha kuwa na wasi wasi kuhusu nyumba na mazagazaga mengine shauriana na mke wako mjue mnafanya nini au ikiwezekana wasiliana na wakwe zako wa mwanzo au wazazi wako ili muweze kubadirisha hizo hati kuwa majina za watoto, la mwisho fanya chap juu chini huyo mwanamke uliyenae sasa hivi umuoe na ikiwezekana piga ujauzito fasta bin vuuu!.
Sawa kiongozi..,bado nasubir ushauri wako tafadhariNaona a e I o u uliachana nazo mkuu,unadeal na ha he hi ho hu