Niachaba na aliyekuwa mke wangu..,tulikuwa na watoto wawili,naombeni ushauri

Ndoa za serikalini hufanyika kimya kimya tu kama kwenda kwa Mganga hakuna kadamnsi itajua, ila ukifikishana nae mahakamani huna cheti cha ndoa umeliwa atahesabika ni mkeo.
Yatayo kupata, itabidi uanze kuhudumia hao watoto wakati yeye yuko nao na vilevile Hivyo viwanja mtagawana.

Ukimshinda na ikaonekana ni mchepuko tu basi, hata viwanja ukipata wakili mzuri hata pata kitu, atahesabika kama shahidi tu wa kawaida unless mlikiandika kama cha familia hapo umepoteza.
 


Mithali 2

17 Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake.

18 Maana nyumba yake inaelekea mauti, Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu


Nyumba kwa lugha nyepesi ni MAISHA


Kuachana sio mwisho wa migogoro katika maisha ya wanandoa, Bali ni muendelezo wa migogoro katika maisha ya wahusika b'se hakika mambo na tabia na vitu vilivyopelekea muachane Bado kila mtu anavyo ndani yake ila mkaona solution ni kuachana na sio kusafisha tabia na misimamo hasi ambayo ndiyo mzizi wa Ndoa kukosa ustawi
 
Sasa Kama Mmekwisha Achana Wewe Hofu Yako Nini,,Pambana Lea Damu Yako Kwa Nguvu Na Akili Yako Yote....
 
Hao watoto wadogo mno lazima wakae na mama yao.

Talaka utatoa tu mpaka mmezaa watoto wawili inatosha kuitwa ni ndoa, jipange.
 
Shukrani sana
 
Hao watoto wadogo mno lazima wakae na mama yao.

Talaka utatoa tu mpaka mmezaa watoto wawili inatosha kuitwa ni ndoa, jipange.
Na Mimi sitakubali kutoa talaka..,nitapretend bado nampenda!
 
Wtt wa miaka 2 na 4 unataka walelewe na mama ambae hajawazaa?
Subiri upate makubwa kuliko yaliokupata
Na ilikuwaje akawaacha?
 
Ww pro west hujui ata kuandika kila wakati hambao watoto hambao hambao ndo nini sasa

Kamwambie Zelensky akushauri juu ya matatizo yako
 
Wtt wa miaka 2 na 4 unataka walelewe na mama ambae hajawazaa?
Subiri upate makubwa kuliko yaliokupata
Na ilikuwaje akawaacha?
Hao watoto wadogo mno lazima wakae na mama yao.

Talaka utatoa tu mpaka mmezaa watoto wawili inatosha kuitwa ni ndoa, jipange.
Duh! Wanawake katika umoja wenu🏃🏃🏃
 
Hao watoto ni mali ya mama yao wewe, warudishe haraka kabla haujakamatwa na kufunguliwa kesi na kufilisiwa. Fanya haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…