Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 278
- 435
Ni kweli wapo watu walio umizwa unadhani kwa nini hata yeye binafsi aliwahi kutamka ''Mtanikumbuka kwa mema na si kwamabaya'' alijua wazi katika kufyeka njia iliyo kuwa poli lazima viumbe wengine wataumia. Kwa jinsi nchi ilipokuwa imefikia ilihitaji shujaa kufanikiwa na ndio maana marais wastaafu wanakiri kushindwa kuirejeshe nchi kwenye mstari wa kuanza kupiga hatua.Tatizo ni moja Tuu, Jiwe alihubiri jinsi alivyoipigania nchi hii, Ila ule upande wa shilingi alioumiza watu hausemwi , Ila wahusika walioumizwa wanausema sasa... Alichokifanya ni nothing dhidi ya maumivu aliyowapa watu , mi mwenyewe ni mhanga , usitegemee nikamsifu jiwe Kwa lolote kabisa .... Kikwete alichukiwa Sana na watu Kwa ubadhirifu wa Fedha na ufisadi , Ila Leo hii ukimuuliza mtu Kati ya Jiwe na Msoga atakuchagulia Msoga chap .....
Tumeibiwa ktk kivuli cha uzareendooJiwe alikuwa mwizi kama wezi wengine tu. Bora hata ya hao wezi wengine walijiweka wazi kuwa wapigaji. Bw. Jiwe alijitwika umalaika mtu, mtiifu kupita kikomo kumbe nyuma ya pazia anatuchapa tu.
Yapo mengi mema aliyo lifanyia taifa hili kutoka taifa lisilojitambua uwezo wake, hadi kuwa taifa linalojitambua,makosa yapo lakini yatupasa kushukuru kwa mema.Mataga mtatunga sana mashairi na ngonjera lkn ukweli mnayejitahidi kumsafisha hasafishiki.
Wakati wa enzi zile kila mwenye mamraka alikuwa na kisu na alikuwa na uwezo wa kuifikia keki ya taifa na kujikatia pande analopenda, wakati wa mwenda zake walio wengi hawakuwa na uwezo wa kuifikia keki ya taifa na ndio maana ya haya matokeo unayoyaona leo, sio kweli kwamba wizi uliisha kabisa bali ulipungua kwa kiasi kikubwa,kufungia uhuru wa habari kulitoa mwanya panya kujinyakulia vipande vidogovidogo bila kusikika.Tumeibiwa ktk kivuli cha uzareendoo
Jiwe amejitajirisha sana kwa ufisadi huuwakati wa enzi zile kila mwenye mamraka alikuwa na kisu na alikuwa na uwezo wa kuifikia keki ya taifa na kujikatia pande analopenda, wakati wa mwenda zake walio wengi hawakuwa na uwezo wa kuifikia keki ya taifa na ndio maana ya haya matokeo unayoyaona leo, sio kweli kwamba wizi uliisha kabisa bali ulipungua kwa kiasi kikubwa,kufungia uhuru wa habari kulitoa mwanya panya kujinyakulia vipande vidogovidogo bila kusikika.
Ebu twambie ni mema gani aliyo yafanya.Yapo mengi na mema aliyo lifanyia taifa hili kutoka taifa lisilojitambua uwezo wake hadi kuwa taifa linalojitambua,ni makosayapo lakini yatupasa kushukuru kwa mema.
Hakuna mema aliyo Fanya zaidi ya kutekeleza miradi yoote iliyo anzishwa na mh kikwetewakati wa enzi zile kila mwenye mamraka alikuwa na kisu na alikuwa na uwezo wa kuifikia keki ya taifa na kujikatia pande analopenda, wakati wa mwenda zake walio wengi hawakuwa na uwezo wa kuifikia keki ya taifa na ndio maana ya haya matokeo unayoyaona leo, sio kweli kwamba wizi uliisha kabisa bali ulipungua kwa kiasi kikubwa,kufungia uhuru wa habari kulitoa mwanya panya kujinyakulia vipande vidogovidogo bila kusikika.
Huyo ni zumbukuku maana hajui nini anafanya.Kwenye thread hii katajwa Mbowe?
Kila binaadam ana mapungufu yake,lakini pia ni binaadam wa hatari sana asiyeweza kuthamini mema ya wengine kwa kisingizio cha ubaya ''yatupasa kushukuru kwa yote ndipo tunapoweza kupata kibari machoni pa bwana''Wajumbe wenye ID's mpya mmeingia kwa kasi sana humu jukwaani ndani ya muda mfupi kumtetea magufuli!
Nilitamani sana kumfahamu kiongozi wenu anaye simamia hili zoezi la kumsafisha mtukufu wenu! kutokana tu na madudu yake lukuki aliyo yafanya tangu alipoingia madarakani mwaka 2015!
Natamani sana kumfahamu huyo mfqdhili wenu anaye isimamia hii show mwanzo mwisho!Kila binaadam ana mapungufu yake,lakini pia ni binaadam wa hatari sana asiyeweza kuthamini mema ya wengine kwa kisingizio cha ubaya ''yatupasa kushukuru kwa yote ndipo tunapoweza kupata kibari machoni pa bwana''