Niagize chochote Dubai

Hongera sana mkuu
 
Tulia wewe Sunni umekatazwa kuhudhuria msiba wa rais wa Iran Ebrahim Rais mshia.

Peace be upon our Imam NOT the prophet.
 
Kabisa mkuu.

Serikali iingilie kati kuhusu kikundi hiki cha vijana wa hovyo cha "Ghayos gang' kikiongozwa na mkalidayo,the Mongolian savage Maghayo muhuni mmoja kutoka kule chini ya mlima Kilimanjaro.
 
True true huyu Maghayo na genge lake wadhibitiwe hapa Jamhuri ya JF
Ni wasumbufu tukiendelea kuwafumbia macho watakuja kuleta ugaidi wa Kikaldayo maana wakaldayo walikua walozi wa kutupwa
Mpaka Mfalme Nebuchadnezzar alitaka kuwakata vichwa baada ya kushindwa tafsiri ndoto ya Mfalme bahati yao Kubwa la Mayahudi Nabii Daniel akayakoa kibahati bahati na bahati yao yaani!
😁😁
 
Bado uko huko?
 
Dah
View attachment 2994867
Huku Kila sehemu ni pazuri 🤣🤣🤣
Dah mwamba Mhando siamini Kama ushaiacha ardhi ya Bibi yetu sema nini pambana bro najua soon utanenepa maana ulikonda bro kwa mawazo ya kishetani ssa usiyawaze huko bro .
Ila ukipanga kurudi niletee hata kabia ka elfu hamsini nitashukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…