Niagize chochote Dubai

Kuna mtu anasubiriwa na bonge la rungu atokeze kwenye kona
 


Acha ndugu yangu warabu wameendelea pesa wanazo na wanajua jinsi ya kunitumia...,!View attachment 2995012

Kwa sababu majina yako halisi na sura yako tushaifahamu humu Jamii Forum sion maana ya wewe kutumia fake ID. Nashauri utumie majina yako halisi tena verify account yako,,,, hii itawafanya wateja wanaokuagiza bidhaa wawe na iman kwako maana wanajua at least wanadeal na mtu wanaemfaham kdogo.
Kidogo kidogo badae unafungua kampun kabisa.

Ni USHAURI TU!!
 
Noted...and accepted...ila Mimi Niko veryfied muda mbona
 
Kwamba akili yako ndio imefika mwisho wa kufikiri?
Walau umenisaidia...unajua anayo haki ya kusema hivyo asilimia 99 ya wafanya online business sio waaminifu😭😭😭

Hao ndio wanao tuharibia waaminifu tuonekane kama ndio wale wale...sisi kama watanzania nikiwemo Mimi inabidi tuwe wa mfano...ili mtu akiwa mtandaoni ajione kama yupo mtaani kwake...! Awe huru na salama...!​

Huku duniani mtandao ni salama kuliko mtaa...

Huku dala dala na tren zinaongozwa kimtandao bila kondakta na wote wanalipa nauli...!​
 
Ushauri wako nimesha ufanyia kazi mkuu... nasubiri oder Yako tuu...🤣🤣🤣​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…