Niagize chochote Dubai

Nataka kuagiza laptop refurbish/ used naomba bei

1.HP Laptop 15 Notebook Gen 11 - Windows 11 Home, iCore i7, 4.70GHz, 8GB RAM, 512GB SSD, 15.6" FHD Screen

2.Dell VOSTRO 3520 15.6 inch FHD,12th Gen Intel Core i7-1255U10–Core Processor

3.HP EliteBook 840 G6 Intel Core i5-8th Gen- Window 10

4.Acer Swift X AMD Equipped with an AMD Ryzen

5 processor, 16GB of RAM, and a 512GB SSD,_window 10-11

5.HP 15.6-inch Laptop Featuring a 12th Gen Intel Core processor, Intel Iris X Graphic_ window 10 or 11

6.Dell Inspiron 15 5515_ window 10 or 11

7.HP 15.6 Full HD Laptop, Intel Core i5-1135G7, 8GB RAM, 256GB SSD, Windows 10 Home

8.HP Envy 13 12GB Intel Core I7 SSD 512GB, window 11
 
Nakushauri nunua lenovo/macbook utanikumbuka,HP nyingi zinakufa display,dell sio imara kwenye hardware kufa vitu ni haraka nikawaida but lenovo km think pad ni jiwe sana
 
Nakushauri nunua lenovo/macbook utanikumbuka,HP nyingi zinakufa display,dell sio imara kwenye hardware kufa vitu ni haraka nikawaida but lenovo km think pad ni jiwe sana
Asante kwa ushauri embu endelea kunishauri maana nataka kwa ajili ya kujifunzia programming na kufanyia mitihani online.na sitaki macbook ziko limited sana hasa refurbish
 
Asante kwa ushauri embu endelea kunishauri maana nataka kwa ajili ya kujifunzia programming na kufanyia mitihani online.na sitaki macbook ziko limited sana hasa refurbish
MacBook hardware yake ni imara,sijapenda sn hali ya muundo wa silicon chip maana zipo delicate sana but Kwa performance ni nzuri, Kwa development/programming/graphics ni nzuri pia but km unaanza better anza na windows product ukiwa konki ndio uhamie huko.
Mm natumia Mac na sijawahi juta or badili to windows pc
 
Asante, na miezi kama miwili imepita niliona mtu anauza macbook hapa bei poa kabisa nikapuuzia
 
Ssd za macbook nazitoa wapi
 
👏👏👏🙏
 
Sidhani kama ni 1.5m labda kama ni visa ya siku 3 na kurudi 🤣🤣🤣🤣
Gharama ipoje kwa sasa?
Kama mtu anataka kuja kutembea kwa wiki mbili hivi, aandae kama shilingi ngapi?
1. Tiketi ya ndege kwenda na kurudi
2. Kulala hotelini kwa wiki kama mbili hivi( hoteli za kawaida/kati, yaani, siyo za kifahari)
3. Chakula cha wiki mbili
4. Nauli za kuzungukia maeneo mbalimbali Dubai

Nalisubiria jibu kwa shauku kubwa🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…