ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Basi ni tufanye ni wamboga za majani kama si wanyamakumbe njiwa na kuku ni wanyama? nimechelewa sana kujua hili,,, poor me
Umeniwahi, nilitaka kuuliza hicho hichokumbe njiwa na kuku ni wanyama? nimechelewa sana kujua hili,,, poor me
kumbe njiwa na kuku ni wanyama? nimechelewa sana kujua hili,,, poor me
bado sijaelewaBasi ni tufanye ni wamboga za majani kama si wanyama
ila min 😅Mimi napenda mbwa , nakumbuka nikiwa mdogo nililia karibu siku 3 mbwa wangu alipo kufa.
Pia kuku nawapenda mno , nikifuga hata kuwachinja huwa nawaonea huruma
Kwa nini mkuu?ila min 😅
amna nimefurahi tuKwa nini mkuu?
Mashati moja sioMimi napenda mtoto wa ng'ombe, mtoto wa mbuzi, njiwa .
Ukiacha njiwa wa kufugwa kuna wale ambao si wa kufugwa wapo wengi sana kulingana na eneo husika, kule kwetu tulikua tunawaita mbeta, ile sauti yao naipenda mno.
bado
kumbe njiwa na kuku ni wanyama? nimechelewa sana kujua hili,,, poor me
Mlisoma shule gani nyie?Umeniwahi, nilitaka kuuliza hicho hicho