Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

Yeah ila kwa mchaga anaejua kuongea lahaja moja vizuri hizo nyingine zote anaelewa vizuri hata kama kuna utofauti kidogo
Sio kweli masta....

Mkibosho na mrombo hawasikilizani kabisa,,,,, pia wamachame ! Hawa wengine walau mnaweza kusikilizana ama kudaka neno moja moja
 
Sio kweli masta....

Mkibosho na mrombo hawasikilizani kabisa,,,,, pia wamachame ! Hawa wengine walau mnaweza kusikilizana ama kudaka neno moja moja
Mimi mkibosho ila mrombo ,mmarangu,old moshi na m uru wote nawasikia na wengine naongea kabisa.🤣
 
Wanyama ninao wapenda. 1 - Panya. 2 - Huwa namtamani Panya. 3 - Ninakula nyama ya Panya, ni nyama tamu sana laini, uzuri unatafuna na mifupa... Haya tuludi kwenye majukwaa ya siansa sasa.
 
Back
Top Bottom