win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
akaenda mbali sana mpka akasema kuku ni fangasi🤣Kwahiyo ukaona awe tu m-mboga za majani😝😝😝😝
akaenda mbali sana mpka akasema kuku ni fangasi🤣Kwahiyo ukaona awe tu m-mboga za majani😝😝😝😝
Nakula hata kifaranga.Kunasiku nilienda Dodoma nikala Vindege😝😆😆 kifanga cha kuku
Ndege kakomaa japo anaweza kuwa mdogo kuliko kifaranga cha kuku😁Nakula hata kifaranga.Kunasiku nilienda Dodoma nikala Vindege😝
Kwanini lakini🤣🤣🤣🤣akaenda mbali sana mpka akasema kuku ni fangasi🤣
sijui mwenyew akili zakeKwanini lakini🤣🤣🤣🤣
Kule india wanaweka mayai yakuku siku 14.Kikuku si kinakuwa kimeshaanza kujitengneza? Halafu wanachemsha hayo mayai wanakula.Ndege kakomaa japo anaweza kuwa mdogo kuliko kifaranga cha kuku😁
Au fangasi 🤦♀️Kama sio mnyama basi ni mmboga za majani ndio😅
Niliona mahali hiiKule india wanaweka mayai yakuku siku 14.Kikuku si kinakuwa kimeshaanza kujitengneza? Halafu wanachemsha hayo mayai wanakula.
Nacheka hadi machozi mimi😝😝😝😝sijui mwenyew akili zake
Hata kama napenda nyama ile hapana😝😝😝Niliona mahali hii
Ungezaliwa ukakuta jamii yako wanakula ungeona wasio kula wana kosa uhondo.😇Hata kama napenda nyama ile hapana😝😝😝
Duh paka huwa simpendi ni mnafki na msaliti mnoPaka,Farasi,Mbwa
duh! Aisee! Nchi ngumu hii!Mimi
1.Tembo-ni wapole, NI wazuri, wanaishi kwa ushirikiano,wanalindana na kupendana, wanapenda wanyama wengine,Wana AKILI na pia wataratibu.
2.Kuku-hasa vifaranga najisikia Raha Sana kushika vifaranga na nikasikia wakilia napenda wanavyoishi na mama Yao na kujifunza harakati pia wakiwa wakubwa NI watamu Sana
3Njiwa-wana heshima Sana na Wana huruma napenda macho Yao na jinsi wanatazama vitu na kuzingatia kiumakini pia rangi zao zinanivutia.
Nitajie wako sio lazima unipe sababu
kwahiyo min ushasalitiwa mpka na paka 🙄Duh paka huwa simpendi ni mnafki na msaliti mno
Ila kweliUngezaliwa ukakuta jamii yako wanakula ungeona wasio kula wana kosa uhondo.😇
Kabisa mkuu Paka ninaye nyumbani hapa anachojua yeye muda wa kuwa nyumbani ni wakati wa kula tu kucha kutwa kanadanga nina mpango nikakarushe dampo. nikikaangalia roho inauma nimekalea mwaka wa 2 sasaDuh paka huwa simpendi ni mnafki na msaliti mno