win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
nianze kukupa somo la kuukubali ukubwa sasaSio sitaki Tu,. Naogopa kabisaaaa😬
nianze kukupa somo la kuukubali ukubwa sasaSio sitaki Tu,. Naogopa kabisaaaa😬
Ukubwa unakuja na majukumu tatizo 🧐,.nianze kukupa somo la kuukubali ukubwa sasa
Hata wanyama kama mbwa huwa wanawapenda watoto...Kitu nilichojifunza viumbe wote wakiwa wadogo huwa wanavutia na kutufurahisha sana.
Hata watoto wachanga huwa tunawafurahia sana hasa pale wakitabasamu
mi nishaanza kuombwa pocket money mara pesa ya tua yani sina ham😁😁😁 lakin ndo ukubwaUkubwa unakuja na majukumu tatizo 🧐,.
Imagine wameshaanza kunishirikisha na vikao vya familia 😭😭
😂 😂😂,. Ona sasami nishaanza kuombwa pocket money mara pesa ya tua yani sina ham😁😁😁 lakin ndo ukubwa
Swan. Right?Sio bikini ni bukini
View attachment 3472005
Kama Wema Sepetu..au sio!?Weee usiseme hivyo..Huo umri nauogopa Mimi jamani🥺🥺,.
Nishajiambia hadi mwakani bday zangu zote nitaendelea kusherekea miaka24 Tu Hadi uzeeeni😂😂
Kamtupe utapomtupa baada ya siku kadhaa anarudi 🤣Kabisa mkuu Paka ninaye nyumbani hapa anachojua yeye muda wa kuwa nyumbani ni wakati wa kula tu kucha kutwa kanadanga nina mpango nikakarushe dampo. nikikaangalia roho inauma nimekalea mwaka wa 2 sasa
YeahSwan. Right?
Fish jee?Kingdom, animalia
Class. insecta
Hivyo sisimizi ni mnyama
Kingdom ,animaliaFish jee?
Pweza, ngisi, kamba, kaa, oyster? Hawa ni kundi gn?Kingdom ,animalia
Phylum , choradata
Class ,pisces . hili class lina vipengele vingine vidogo
Hahahaha kamenichosha na tabia yake ya kudanga usiku kucha kanarudi nyumbani asubuhiKamtupe utapomtupa baada ya siku kadhaa anarudi 🤣
🤣🤣kumbe njiwa na kuku ni wanyama? nimechelewa sana kujua hili,,, poor me