Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

Mimi
1.Tembo-ni wapole, NI wazuri, wanaishi kwa ushirikiano,wanalindana na kupendana, wanapenda wanyama wengine,Wana AKILI na pia wataratibu.


2.Kuku-hasa vifaranga najisikia Raha Sana kushika vifaranga na nikasikia wakilia napenda wanavyoishi na mama Yao na kujifunza harakati pia wakiwa wakubwa NI watamu Sana

3Njiwa-wana heshima Sana na Wana huruma napenda macho Yao na jinsi wanatazama vitu na kuzingatia kiumakini pia rangi zao zinanivutia.

Nitajie wako sio lazima unipe sababu
Paka wa katikati ya miguu ya Irene.
 
Back
Top Bottom