Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Poa za wewe?mambo Lee
Poa za wewe?mambo Lee
nzurii,, habari ya j'piliPoa za wewe?
Hivi kumbe Leo J'pili🥺🥺,. Ee Mungu wangunzurii,, habari ya j'pili
ulijua ni siku gani binti😅Hivi kumbe Leo J'pili🥺🥺,. Ee Mungu wangu
Njiwa na kuku kwani sio wanyama?Umesema wanyama njiwa na kuku wametoka wapi tena?
Mimi napenda njiwa,bata bikini na wanyama wengineo
Jmosi eti, mwe!😂🤸ulijua ni siku gani binti😅
huyo bata bikini ndo yupoje 🤣🙄
pole sana Lee alf ndo kwanza una 25yrs unasahau hivyo je ukifika umri wa sis dada zako itakuajeJmosi eti, mwe!😂🤸
In general wote kuku na njiwa ni wanyama, lakini siyo wanyama wa kundi la mamalia (kama mbwa au paka), bali ni wanyama wa kundi la ndege.Njiwa na kuku kwani sio wanyama?
mi nawafaham bata mzinga na wale bata wengine weusi sijui wanaitwajeSio bikini ni bukini
View attachment 3472005
Simu hizi zinatuchanganya sana daahSio bikini ni bukini
View attachment 3472005
mi nimefatisha reply yake sijajua kama kuna typing errorSio bikini ni bukini
Weee usiseme hivyo..Huo umri nauogopa Mimi jamani🥺🥺,.pole sana Lee alf ndo kwanza una 25yrs unasahau hivyo je ukifika umri wa sis dada zako itakuaje
hautaki kukua au😅😅😅😅Weee usiseme hivyo..Huo umri nauogopa Mimi jamani🥺🥺,.
Nishajiambia hadi mwakani bday zangu zote nitaendelea kusherekea miaka24 Tu Hadi uzeeeni😂😂
Sio sitaki Tu,. Naogopa kabisaaaa😬hautaki kukua au😅😅😅😅
😅😅😅 hapo sawa ,hivyo kuku ni mnyama ,ibumex anasema kuku si mnyama ni fangasi😅In general wote kuku na njiwa ni wanyama, lakini siyo wanyama wa kundi la mamalia (kama mbwa au paka), bali ni wanyama wa kundi la ndege.
Pia mimi binafisi naamini viumbe hai vyote ni wanyama hata miti sema wanasayansi tu ndo wanatuchanganya.