HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 306
- 109
hiyo ni asili yao! Hata wanaume wa kingoni ni hivyo!
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.
hiyo ni asili yao! Hata wanaume wa kingoni ni hivyo!
Jiandae kutiliwa Limbwata!
inamaana kaka zoa ni mcharuko sana eeehhh??
wasikudanganye wanawake wa kingoni ni majasiri sana ndani ya nyumba, wanajua kulea family si wakali na demanding ni wasikivu sana. Mmesikia nyie akina kachiki nimewafagilia ole wenu mniangushe!
Asikudanganye huyu limbwata ni jinsi dada zangu wanavyojua ku care!
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.
waeleze kaka zikokingini
Nitajie kabila wasiopenda huu mchezoWanapenda sana kale kamchezo ketu ka kibaba baba na kimama mama!!!!!!
Wanapenda kusuguliwa.uwe na nguvu siku zote hadi uzeeni.vinginevyo kushare muhimu
Wanapenda kusuguliwa.uwe na nguvu siku zote hadi uzeeni.vinginevyo kushare muhimu! Dah Inasense Kama Kweli
hahahaha.... what is this?? nipo makambako naweza geuza gari aisee