Niambieni sifa za wanawake wa kabila la wangoni?

Niambieni sifa za wanawake wa kabila la wangoni?

wasikudanganye wanawake wa kingoni ni majasiri sana ndani ya nyumba, wanajua kulea family si wakali na demanding ni wasikivu sana. Mmesikia nyie akina kachiki nimewafagilia ole wenu mniangushe!
 
inamaana kaka zoa ni mcharuko sana eeehhh??

Shemeji wasikudanganye hao! Wanaume wa kingoni tumebarikiwa utundu pale uwanjani ndo maana wa dada wakijue wewe ni mngoni kila mmoja anataka akuonje, au umuweke mumgati km mke!
 
wasikudanganye wanawake wa kingoni ni majasiri sana ndani ya nyumba, wanajua kulea family si wakali na demanding ni wasikivu sana. Mmesikia nyie akina kachiki nimewafagilia ole wenu mniangushe!

tupiliki kaka kadoda!
 
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.

ni vile tu nina majukumu mengine ningkupa profile yetu!alivokwambia Kaunga wala si uongo!
nxt weeek nitakuwa daily humu!usikose!
karibu sana ungonini!
kwa kifupi waliotuoa wala hawajutii!
 
Last edited by a moderator:
waeleze kaka zikokingini

Wangoni sifa yao moja kubwa ni kupenda watu wote na marafiki...kwa sababu hiyo basi naomba uingie CC na umpigie charminglady kura ya miss CC...
Ukifanya hivyo mtani ndio tuendelee na story...
 
sogea kidogo MJOMBE ndio wanatuhudumia kwenye bar zetu.ni wakarimu kwa kweli walichopewa na Mungu bure wanakigawa bure
hahahaha.... what is this?? nipo makambako naweza geuza gari aisee
 
Back
Top Bottom