Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

Kama nyongeza hakuna ...hata ongezeko la mwaka (annual increment )hamna??

Sii kweli
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
 
Huu ni uongo, mbona Jiwe 2017 November aliweka kwa wote kale ka increment lake?
 
Unajaribu kusema nini
 
Umemaliza
 
Una muda gani katika utumishi wa umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…