Acha uhuni wa kujiweka msemaji wa serikali huku ukijua kuwa unapotosha kabisa,kwanza hujui hata mikataba tunayosaini watumishi inasema vipi,hivi Kwanini serikali inakuwa na wateteaji wajinga kama wewe!?annual increment kwa mkataba wangu huwa ni mwezi wa saba bila kujari uriajiliwa mwezi wa pili au wa tatu.
OK tufanye nimeuelewa huo ujinganunaoutetea,mimi nimeajiliwa mwezi wa tano, hivyo mwezi wa tano sikuwa na annual increment wala mwezi huu,lakini mkata wangu unasema annual increment ni mwezi wa saba wa kila mwaka.
Acha kutetea upuuzi,kiufupi hakuna mtumishi aliyepata nyongeza iwe aliajiriwa mwezinwa tano aunwa saba