Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Mwaka wa fedha huanza July kwa nchi nzima siyo kweli kuwa kila mtumishi ana mwaka wake wa fedha.
 
Acha propaganda zako kutetea hii serikali. Kwani hizi annual increment ndio zinaanza leo? Wameshindwa kutimiza ahadi acheni kututea ujinga.
Anataka umpe orodha ya waliodhibitishwa kazini kati ya 01-15 Julai ili watoe mrejesho!
 
Ebu nisaidie mkuu, kwa mazingira ambayo tumekuwa nayo kwa takribani miaka 7 bila nyongeza, je kuna mfanyakazi ambaye hakustahili nyongeza hii july? Kama kigezi ni muda wote si wamepitiliza huo muda wa annual increment?
Wataanzia pale walipoishia!
 
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Unadhani hivyo au ndiyo unaelewa hivyo?

Mimi nakuambia sasa kuwa hujui usemalo!

Icreament haina uhusiano na siku yako ya kuanza/kuajiriwa kazi.

Icreament ya mshahara wako inategemea na lini ulipata scale yako ya sasa ya mshahara maarufu kama "promotion" aka kupanda cheo cha kiutumishi.!!
 
Uko sahihi kwa wale watumishi ambao tayari walikuwa katika ajira na kupata promotion. Kwa watumishi wapya tarehe ya kuajiriwa inahusika ku-determine tarehe ya annual increment.

Elimu hii nilikuwa naitoa kwa wale ambao waliajiriwa enzi za Jiwe na bahati mbaya hawajawahi kupata promotion wala annual increment kwa kuwa vyote vilisimamishwa!
 
Unafahamu maana ya annual increment? Kwa kiswahili ni nyongeza ya mwaka ya ajira yako na siyo nyongeza ya mwaka wa serikali! Hivyo kwa mfano kama uliajiriwa January mwaka huu bado hujatimiza mwaka na hustahili. Wanaostahili nyongeza ni wale walioajiriwa July mwaka jana. Kwa sababu hiyo ndiyo kilichotokea kuwa si wote wamepata increment mwezi huu!
Kumbe wa July wamepata increment na hawasemi 🤣🤣🤣....Ila ulivyosema si kweli chamsingi tupige Kaz
 
Annual increment haitolewi kama salary increase ambayo hutolewa kwa watumishi wote bali hutolewa kulingana na tarehe ya kuajiriwa kwa watumishi wapya na tarehe ya promotion ya mwisho kwa watumishi ambao tayari walikuwa wamepanda vyeo.
 
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Annual increment ni July 1 Kwa wote
 
Annual increment haitolewi kama salary increase ambayo hutolewa kwa watumishi wote bali hutolewa kulingana na tarehe ya kuajiriwa kwa watumishi wapya na tarehe ya promotion ya mwisho kwa watumishi ambao tayari walikuwa wamepanda vyeo.
Sio kweli hujui kitu acha watumishi wenyewe waeleze usilete siasa uchwara kwenye haya mambo. Unaonekana kama unatetea ila kumbe unatetea usichokijua kisa ni kada ama unasaka cheo tu cha kisiasa. Kaa kimya. Barua zote za ajira na hata za kupanda vyeo zimeainisha nanukuu " your incremental date will be 1st July" so unapoona watu wanalalamika na hujui Kaa tu kimya acha kugeuka mtu wa kutetea hata usichokijua.
 
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Kwa hiyo sisi tulioajiriwa july na hatujapata tuandamane au? Watu mnajua kuunda maneno, hujui annual increment ni kila mwanzo wa mwaka wa kifedha wa serikali!!
 
Jiwe alikuwa mvunjifu wa sheria na taratibu; ndo maana hata mishahara aligoma kuongeza kwa miaka 6 bila kujali sheria, Jiwe alikuwa mdudu wa HOVYO!
Jiwe wala hakuwa wa hovyo...tatizo ni wewe mwenyewe una akili na mindset ya kimalaya malaya umezoea kudanganywa danganywa na kulaghaiwa.

Jiwe was straight and mkweli.
 
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Huna ulijualo and I wonder kama ni mtumishi wa umma
 
Back
Top Bottom