Nimepata shule mpya hapa. Ila watumishi wana hasira duhUnafahamu maana ya annual increment? Kwa kiswahili ni nyongeza ya mwaka ya ajira yako na siyo nyongeza ya mwaka wa serikali! Hivyo kwa mfano kama uliajiriwa January mwaka huu bado hujatimiza mwaka na hustahili. Wanaostahili nyongeza ni wale walioajiriwa July mwaka jana. Kwa sababu hiyo ndiyo kilichotokea kuwa si wote wamepata increment mwezi huu!