Niamini mimi:POMBE na WANAWAKE ni adui wa pesa zako

Ati nini utabaki kuwa juu juu mawinguni uwiii lamba lolo!
 
Bia haijawahi kunisaliti, siwezi kuisaliti.
 
Sifa kubwa ya Pombe (Alcohol) ktk medicine (Psychiatric ) ni kwamba inaongeza sexual desire ila inapunguza performance,hii ni explanation tosha kwanini mtu akinywa (majority) anatamani kupata bibi,na wale wadada wajanja wanakuvizia ukiwa uko tungi hasa ndio wanatoka na wewe wanajua ukifika kwenye game yaani ukijitahidi ni round moja then unakoroma na akipenda anakuibia hata masalia yaliyobaki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa ndio panapokuwa na lalamiko la familia kuwa jamaa yeye maendeleo ni sifuri kazi yake ni pombe na wanawake
In real fact ni watu wachache sana wenye nidhamu ya Ku balance kati ya kunywa pombe,wanawake na Maendeleo otherwise hao wanaosema eti wanaweza kuji control wakinywa ni wagonjwa au wana pesa za mawazo (mf mtu ametoka home na sh 5000 anaenda kunywa lite 2 na mshikaki 1)


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ndio shida,ila pombe unaweza kuweka utaratibu kwa siku unapata chupa 2 kwa afya na maisha yanaenda,mfano: 2x 2000x30=120,000/=,unaweza tenga kiasi hicho na maisha yakawa yako powa tu.
 
 
Mkuu labda wewe watakuelewa maana wamekuwa wabishi sana kutetea kitu ambacho mimi nakiona ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…