Niamini..Usitoe Code ya Biashara Yako...!

Niamini..Usitoe Code ya Biashara Yako...!

Mkuu ngoja nitakupa ujanja kuna watu hapa town wanaishi vizuri mno ila huezi jua biashara yake maisha...!
Ha ha itakuwa poa sana, ujue mpaka najiona nimekaa kizembe, nikishindwa kupata maisha dar nitayapata wapi tena!
 
Ha ha itakuwa poa sana, ujue mpaka najiona nimekaa kizembe, nikishindwa kupata maisha dar nitayapata wapi tena!
Huu mji mkuu una style yake tofauti..so ukitumia sana akili hutajutia..
Ila ukitoka kwenye mfumo na mji unauhama
 
Tukijikita kwenye biashara ya kutengeneza na kuuza, kunakuwa hakuna shida; ubora wako na mikakati sahihi ya kimasoko ndio utakao kuweka uwanjani.
 
Back
Top Bottom