PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Million mbili haitoshiWakuu . Natumaini mko poa!
Hivi kwa maeneo ya pembeni ya mji Moshi au Arusha nikitaka kiwanja kinachofaa kujenga nyumba ya kawaida tu eneo dogo labda vyumba vitatu basi
Niandae kianzio kama shilingi ngapi hivi?
Je milioni mbili itakizi?
Kumbuka ni pembeni ya mji mfano, usa river, kwa mrombo, tengeru, kibosho road, kiborloni , mabogini, nk au sehem za karibu.
Asante! Je gharama zina range vipi mkuu! Nipe hint kidogo maana ndio naweka malengo.Million mbili haitoshi
Hata mimi nahitaji huko Moshi. Ngoja wazoefu waje.Wakuu . Natumaini mko poa!
Hivi kwa maeneo ya pembeni ya mji Moshi au Arusha nikitaka kiwanja kinachofaa kujenga nyumba ya kawaida tu eneo dogo labda vyumba vitatu basi
Niandae kianzio kama shilingi ngapi hivi?
Je milioni mbili itakizi?
Kumbuka ni pembeni ya mji mfano, usa river, kwa mrombo, tengeru, kibosho road, kiborloni , mabogini, nk au sehem za karibu.
Kwa haraka haraka nikianza kutafuta niwe na shilingi ngapi?Jazia pesa
6mKwa haraka haraka nikianza kutafuta niwe na shilingi ngapi?
Naona viwanja vyao vinaanzia laki tisa.. ila nimesoma reviews za watu wengine wanasema kuna utapeliMilioni mbili hata kwa Kambele hupati eneo la kueleweka
Duh sawa mkuu
Doh yani nataka angalau 20 kwa 20 ata kule kisongoMkuu mil.6-8 unapata kiwanja mchai, usa, na Tengeru
Mil.2 utapata vile vya madalali
Mbise estate na kambele estate