PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Wakuu . Natumaini mko poa!
Hivi kwa maeneo ya pembeni ya mji Moshi au Arusha nikitaka kiwanja kinachofaa kujenga nyumba ya kawaida tu eneo dogo labda vyumba vitatu basi
Niandae kianzio kama shilingi ngapi hivi?
Je, milioni mbili itakizi?
Kumbuka ni pembeni ya mji mfano, usa river, kwa mrombo, tengeru, kibosho road, kiborloni , mabogini, nk au sehem za karibu.