Niandae shilingi ngapi ya kiwanja Arusha au Moshi

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437
Wakuu . Natumaini mko poa!

Hivi kwa maeneo ya pembeni ya mji Moshi au Arusha nikitaka kiwanja kinachofaa kujenga nyumba ya kawaida tu eneo dogo labda vyumba vitatu basi

Niandae kianzio kama shilingi ngapi hivi?

Je, milioni mbili itakizi?

Kumbuka ni pembeni ya mji mfano, usa river, kwa mrombo, tengeru, kibosho road, kiborloni , mabogini, nk au sehem za karibu.
 
Wakuu . Natumaini mko poa!

Hivi kwa maeneo ya pembeni ya mji Moshi au Arusha nikitaka kiwanja kinachofaa kujenga nyumba ya kawaida tu eneo dogo labda vyumba vitatu basi

Niandae kianzio kama shilingi ngapi hivi?

Je milioni mbili itakizi?

Million mbili haitoshi
 
Hata mimi nahitaji huko Moshi. Ngoja wazoefu waje.
 
Mkuu mil.6-8 unapata kiwanja mchai, usa, na Tengeru
Mil.2 utapata vile vya madalali
Mbise estate na kambele estate
 
Doh yani nataka angalau 20 kwa 20 ata kule kisongo
 
Kwa Arusha maeneo yaliyo nje ya mji 20x20 unaweza kupata kwa mil 8 hadi 10. Maeneo km kwa mrombo, Engosengiu nk.
 
mcheki huyu jamaa nilitoka dar nikaenda akaniuzia kiwanja 0616 806 705
 
Back
Top Bottom