thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
dah!Kama nina mtu sahihi ningeanza na kuoa, mengine yakafuata. Kama ni hao ma pisi kali wa mjini then ningejenga kwanza, kuwa na gari inaweza kukutanisha na wrong person katika mahusiano yako, mtu anaweza kukupenda tuu kwa sababu anapata lift kila akitaka kwenda mahali
Wewe wanawake hawapendi wanaangalia maisha.Kama nina mtu sahihi ningeanza na kuoa, mengine yakafuata. Kama ni hao ma pisi kali wa mjini then ningejenga kwanza, kuwa na gari inaweza kukutanisha na wrong person katika mahusiano yako, mtu anaweza kukupenda tuu kwa sababu anapata lift kila akitaka kwenda mahali