Hii nafikiri ndio la muhimu kuzingatia ni wazo zuri kujenga mkondo wa pesa kwanza!Mimi nakushauri anza na biashada. Changa karata zako vizuri piga biashara iwe inakuingizia faida. Hapo utaweza kujenga nyumba na kununua gari.
Kuhusu kuoa inategemea wewe ni mshabiki wa kambi gani. Ya Liverpool VPN au ya Jokajeusi
Sure! Bora tumkute kwenye jukwaa la ujenzi akiomba ushauri wa kufanya maintainance ya nyumba ake baada ya fundi kupopoa cement ake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mawazo yote uliyo sema ni mwendelezo wa mawazo ya kimasikini na fikra za kuendelea kua tegemezi,wewe utakua ni muajiriwa
Any way kiufupi acha vyote ulivyosema na wekeza pesa kibiashara,ktk kile unachokijua ili pesa izae na kuongezeka,kisha hayo uliyosema utakuja kuyafanya baadae kwa urahisi zaidi.
Hata kuoa usitoe kwa kisingizio cha kuchelewa kuzaa,maana tupo kwenye dunia ambayo unaweza kuoa leo kwa mbwembwe na baada ya mwaka ukaja kuweka bandiko hapa jf kua tukupe ushauri mke wako anakusumbua.
Achana kutumia vibaya maandiko aisee, aibu sana kutumia hayo kwa uvivu wa kufikiriaMathayo 6:33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Mathayo 6:34 Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.
Mkuu huwa yanatokea tunapochagua machaguo yasio sahihi....Ikiwezekana usioe kabisaa .... Mke Ni mufulisi
Jenga kwanza mengine ni rahisi kufanikisha kuliko kujenga
Kununua gari ni ngumu kuliko kujenga ingawa gari zetu za kawaida bei ni ndogo kuliko nyumba.Hv hela ya kununulia gari unaweza jengea nyumba? Kujenga inabifi warau u-raise the likes of 40-50mil
Kama hela ya kujenga unayo jenga kwanza then vingine vitafuatia kulingana na hitaji lako,ila kama hela yako ya kuunga bora uweke mke kwanza ndani maana unaweza kuchukua hata miaka 10 nyumba haijaisha...Acha mbwembwe jenga kwanza.
Edit uzi wako, kila ulipoandika "nioe" futa.Samahani kidogo kwa usumbufu. Naomba ushauri hapa
Nianze kujenga nyumba then nioe kisha ninunue gari,
Nioe, ninunue gari kisha nijenge au
Ninunue gari, nijenge kisha nioe
au vyote.
Upi ni mlolongo mzuri?
⒨⒴ ⒡⒰⒯⒰⒭⒠.
Hahaha kambi mbili hizo tata sanaMimi nakushauri anza na biashada. Changa karata zako vizuri piga biashara iwe inakuingizia faida. Hapo utaweza kujenga nyumba na kununua gari.
Kuhusu kuoa inategemea wewe ni mshabiki wa kambi gani. Ya Liverpool VPN au ya Jokajeusi
Matumizi ya mwanamke kwa mwaka mzima ni sawa na thamani ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu.Samahani kidogo kwa usumbufu. Naomba ushauri hapa
Nianze kujenga nyumba then nioe kisha ninunue gari,
Nioe, ninunue gari kisha nijenge au
Ninunue gari, nijenge kisha nioe
au vyote.
Upi ni mlolongo mzuri?
⒨⒴ ⒡⒰⒯⒰⒭⒠.