Nianze na kipi kati ya nyumba, gari au mke?

Jenga chapchap ili uwe huru. Nyumba ipo katika mahitaji muhimu ya binadamu. Unajisikiaje unaposumbuliwa na kodi ya nyumba?
 

Naomba kufunga tread
 
Oa......fungua biashara kubwa.........faida yenu nunua gari......jenga nyumba
 
Mie nahisi cha muhimu ni kuoa kwanza ,ukioa mwanamke atakushawishi mjenge ,mkishajenga ww utashawishika kununua gari

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu usioe utajuta, hayo mawili utachagua mwenyewe ila kujenga lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…