Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 959
Aisee chief hata kuandika tu hujui?
Hiyo PCB ulifaulu kwa namna gani? Nina mashaka na uaminifu wa NECTA.
Hiyo PCB ulifaulu kwa namna gani? Nina mashaka na uaminifu wa NECTA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana mdingi kakataa kumlipia ada..Hayo maandishi yamenifanya nisisome ulichoandika. Mhitimu wa form six hujui kuweka vituo na herufi kubwa? Shule waandika xcul, siwezi waandika cwez. Kweli kizazi kinapotea.
Pamoja KiongoziKichwa kimechafuliwa na materials, mengine yanakosa pa kukaa.
Nitajitahidi kukumbusha kutukumbusha.
Nakukumbusha tuu.Wakati Mwingine Na Mimi Nahitaji Kukumbushwa Kichwa Chenyewe Hiki Nakijua Mwenyewe
Nakukumbusha.Nashukuru Ndugu Kwa Kumkumbusha Vyema Kabisa Sasa Akaze Kichwa Ataona Cha Mtema Kuni
KhaaahNakukumbusha.
Kwa Leo kibarua chako kilianzia hapa.
Hiyo hela anayokupa huyo mtu kuna uwezekano mkubwa ndio pesa hiyo hiyo ya baba yako ila hataki wewe ujue kwa sababu zake binafsi.Habarini wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 20. Nilimaliza form 6 mwaka huu combination ya PCB nikapata div II. Ni kwamba hali yangu imekuwa ngumu mno hasa ktk kipindi hiki cha chuo kwa sababu mzee wangu binafsi ana uwezo wake mzuri tu wa kunisomesha hata miaka kumi sema alikataa kunisomesha na kuona kama ni mzigo kwake na kuamua kufanya biashara zake.
Sio hilo tu, hata matumizi yenyewe shule illikuwa mbinde na hela zipo. Sasa kiukweli binafsi inauma mno nikiona tu anatoa kwa watu wengine ambao sio wa kifamilia; sijui ni limbwata hata sielewi!
So nikapata bahati tu ya kusomeshwa na msamaria mmoja tu ila tu ana condition kali kinoma. Yani ni kwamba anakusomesha kwa mkopo ili baadae nije kumlipa nikiajiriwa na hapo hela inayotolewa ni ada tu maswala ya hostel na matumizi juu yako mwenyewe na kama ilivyo mzee hataki kunisaidia hata na mia yake.
Kwahiyo nilikuwa naomba ushauri wanaJF kwamba hii hela ya ada ya huyu jamaa anaenlipia ada niikate kidogo kama robo niweke kwenye biashara ya kujiajiri mwenyewe ili nijipatie hapo visenti vya kuishi?
Maana hapa naogopa mno nikifikiria ni hela ya watu nkianzisha biashara ikifa inakuwa jau tena au labda nianze biashara kama ipi yenye uhakika hela yke itarudi na faida kubwa?
NISAIDIENI WADAU HAPA CHUO SIWEZI KWENDA KWANZA NATAFUTA HIYO HELA YA HOSTEL KWANZA NA YA MATUMIZI!
Mzee baba jiulize kwanini baba ake kamkacha + mwandiko utajua unapoteza mda wako bure kushauriAnyways, tushajua hajui kuandika bt je mna ushauri gani kwa mdogo wenu? Mpatieni ushauri au hamjaona juu kapasua div 2 ????! Ebu tuwe waungwana tumpe ushauri wa kujenga sio kubomoa