Nicas na gereji yake

Nicas na gereji yake

Soko la EA limefunguka waKenya wanakuja na wana juhudi na maarifa zaidi kwenye kazi. Nicas asitegemee tuukwa sababu tunajuana nimpe kazi...no

aende benki apate mkopo akajenge Workshop ya maana NJE YA MJI na aeke ma Professionals na afungue branches Miji mingine

aache kufanya biashara kama babu zetu...mchagga gani ambaye anaendesha biashara utafkiri si Mchagga?

hii ni changamoto na Nicas should have been mbali zaidi ya hapo alipo

Hell yes, this guy is making a lot of money: anatakiwa kuwa advanced kidogo, asitegemee sana wenyeji kumpelekea mikoko, kazi ziko nyingi sana kwa watu wasiomfahamu; maana kwa hal ya kawaida mtu anayethamini gari yake ya thamani haawezi kupeleka gari yake pale kama hakuagiziwa na mtu. Sifahamu rafiki zake ni watu wa aina gani zaidi, huenda hawampanui mawazo!
 
Hebu tueleze huyu mtu anauwezo gani, anatengeneza magari ya aina gani, anapatikana wapi, namba zake za simu za biashara n.k.k ili apate soko humuhumu. Sisi wengine tumechoka kutapeliwa na mafundi uchwara. Hapo mtakuwa mmemsaidia badala ya kumsifia tu peke yake.
 
Dah Bullet Train….ebana eeeh umenikumbusha longi sana jombaaa. Vitoto vingi humu JF havimjui Nicas ni nani wala Bullet Train ni nini. Na wale walohamia mjini miaka ya 2,000 ndo kabisaaaa wametoka watupu!!

siku hizi competition ni kubwa na watu ni wengi kwa hiyo wewe kujulikana sana ni shida
ukipiga mziki mkubwa kwenye gari watu wanakuona chizi

wapo waliokuja mjini miaka ya 2000 ambao mambo yao ni supa sana

ukisema bullet train unanikumbusha majina mengine kama mwadila na sheikh yahya na range yake ya milango sita
 
Huyu jamaa anakitu ambacho watu kama Chenge wamemiss, akili za mitaani.Huyu jamaa ujanja wake tuliuona toka Primary school.
Kuna watu wengi nimeona biashara zilizowapa jina na faida kubwa wanapo jaribu kuzipanua sehemu nyingine zinaishia kuzorota.
 
Hebu tueleze huyu mtu anauwezo gani, anatengeneza magari ya aina gani, anapatikana wapi, namba zake za simu za biashara n.k.k ili apate soko humuhumu. Sisi wengine tumechoka kutapeliwa na mafundi uchwara. Hapo mtakuwa mmemsaidia badala ya kumsifia tu peke yake.
High end luxury cars
 
Awwww am noting a tad of jelousy here....

Okay u know him so well that u can whine away here, be a man and tell him !

his wife is a friend, if any of this is true and u have good business mind why dontcha tell him ? What's holding u back ?

Real men don't whine
 
Umeisahau pia Rasta Jampata Isuzu ya Kawe......... nilichogundua huku watu wengi ni wabeba Box ulaya........na maisha yanawagonga.........kwahiyo hawataki kuona mtu yeyote mwenye Maendeleo mjini anaendesha maisha yake.........Hata kama garege ipo chumbani kwake Inakuuma nini? Nicas ni Fighter........wala hutakaa umfikie maisha yake anayoishi
 
spot on "NICAS NI FIGHTER"anyone saying otherwise,hujue kamjua nicas in the last 20 years
 
Back
Top Bottom