Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,288
- 791
Soko la EA limefunguka waKenya wanakuja na wana juhudi na maarifa zaidi kwenye kazi. Nicas asitegemee tuukwa sababu tunajuana nimpe kazi...no
aende benki apate mkopo akajenge Workshop ya maana NJE YA MJI na aeke ma Professionals na afungue branches Miji mingine
aache kufanya biashara kama babu zetu...mchagga gani ambaye anaendesha biashara utafkiri si Mchagga?
hii ni changamoto na Nicas should have been mbali zaidi ya hapo alipo
Hell yes, this guy is making a lot of money: anatakiwa kuwa advanced kidogo, asitegemee sana wenyeji kumpelekea mikoko, kazi ziko nyingi sana kwa watu wasiomfahamu; maana kwa hal ya kawaida mtu anayethamini gari yake ya thamani haawezi kupeleka gari yake pale kama hakuagiziwa na mtu. Sifahamu rafiki zake ni watu wa aina gani zaidi, huenda hawampanui mawazo!