Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

Kama pesa sio tatizo (kununua na ushuru na wese) chukua Crown S220 2018 to present.
4229166D-2629-470B-9A0B-F34665625FBB.jpeg


Infiniti M ipo poa ila haijawa updated tokea 2009 so haipo classic saana. Hii hapa ni 2010
14358AE8-B775-447F-84A7-C24E6B71608C.jpeg


Ila gari zote mbili zina ushuru mkubwa sana tu.
 
Mbimbinho,
Hapo machine ni Fuga ila kama hauna uzoefu na magari chukua tu Crown maana Fuga linataka care yahali ya juu mfano wa mjazito mwenye fuko jepesi


Matunzo gani ambayo Nissan Fuga inahitaji lakini Crown haihitaji?

Maana hata huo mfano wako wa mimba ya mfuko mwepesi ni potofu, kila mimba inapewa folic acid, vitamin D, Calcium, chuma, na inaambiwa ihudhurie clinic, hakuna mwanamke anaambiwa wewe mfuko wako wa uzazi ngozi ngumu huhitaji matunzo makini!
 
Back
Top Bottom