Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

Mngesaidia zaidi kwa kutoa sababu kwa nini aende kwa gari hii na si ile... Ni jukwaa la wengi na elimu haina mwisho.
Ndugu yangu hawa wamiliki wa magari ya toyota usitegemee wakupe sababu zaidi ya hizi..

1..Watakuambia toyota ndiyo inauzika....sasa sina uhakika kama kila mtu ananunua gari ili auze.

2. .watakuambia toyota zina spea za bei rahisi, hapa huwa nashindwa kuelewa...kwa sababu kuna mtu akiambiwa spea inauzwa milioni 3 kwake si tatizo bora iweinapatikana.

Mtazamo wangu..
Magari mengi yanayoanzia model za mwaka 2005 kupanda juu, haijalishi kampuni mfano Toyota, Nissan, Subaru n.k....spea zake si bei rahisi na ni magari yenye teknolojia kubwa kwenye mifumo ya umeme.

Both Toyota crown na Nissan fuga are great sedans....Powerful, comfortable, luxury e.t.c.

Wadau mngemchambulia mtoa mada technical specifications za Nissan fuga na Toyota crown.

Mwisho wa siku achague mwenyewe kitu roho yake inapenda. Kuhusu kuuzika na spea za bei rahisi, ningeshauri tusimpandikizie mwenzetu mawazo ya kimasikini kwa sababu hatujajua kama ananunua ili auze.

Mwisho ikumbukwe hayo magari mawili hayana best resale value huku mtaani kwa sababu ya ukubwa wa engines zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't know kama ushanunua au bado, ila the thing is ni gari za class moja. Vile vile hujasema ni new model ya mwaka gani so zote nitachukulia ni za kuanzia 2009 kuendelea

1.they are both sedans with engines 2.5l -3.5l ni wewe tu na mfuko wako. Tofauti iliyopo ni fuga kua grand tourers ndio maana utakuta fuga zina 250GT na 350GT ambayo iko desirable kwa high speed na long distance trips.

2.they are all Japanese cars ila kwa sasa sidhan kama swala la spare ni issue kubwa kwa hawa manufacturers, hii ni more likely kwa german manufacturers.. japokua kwa experiences na user critics, spare za fuga zimesimama kidogo kuliko crown.

3.ni design, ni wewe unapendelea nini, mfano personally ningeenda crown, kwa sababu tu exterior design ya fuga sijaipenda although fuga za kuanzia 2009 zinakuja na leather seats tofauti na crown. Na dashboards hazitofautian sana vile vile.

4. Engine outputa ya Grs200 ni 212hp na ya fuga y51 ni 222hp kwa 330hp ya 350GT. Zote ziko stable na ground clearance almost the same japokua fuga ina record ya kua gari ya kwanza kuleta technology ya driving assistance duniani ya wrong-way driving sign, waweza enda google ujionee.

Mwisho wa siku ni nini wewe unataka maana hata bei hazipishani hivyo na mafuta ni uendeshaji wako tu kucheza RPMs utakua poa. Skiza ushauri ila fanya homework yako pia.
 
Ndugu yangu hawa wamiliki wa magari ya toyota usitegemee wakupe sababu zaidi ya hizi..

1..Watakuambia toyota ndiyo inauzika....sasa sina uhakika kama kila mtu ananunua gari ili auze....
Ila kwa probability mmiliki ana likely ya 90% kuiuza Crown muda wowote na mteja atampata kirahisi tofauti na ilivyo kwa Fuga.
 
Ila kwa probability mmiliki ana likely ya 90% kuiuza Crown muda wowote na mteja atampata kirahisi tofauti na ilivyo kwa Fuga.
Wanaoponda watu wanaonunua gari kwa kigezo cha kuuzika kwa urahisi hawajawahi kukutana na stress za kukosa mteja gari afu ww ndio umeshaichoka! Lazima ngoma ichezwe kulingana na mdundo!
 
Kuna stage ukifika kwenye maisha ndio unaweza kuacha kununua gari kwa kigezo cha kuuzika kirahisi... Ila kwa sisi ambao bado tun safar ndefu kwenye haya mambo acha tu tununue toyota tena za cc 1490😂😂
Team 1NZ-FE vvt-i,,, wale wa IST, Ractis, Raum, RunX, Premio, Allion na Allex! Wote kapu moko 😆😆😆
 
Kawaida sana hiyo chief.. kwa watoto wazuri wazuri.. mafuta kwa wiki muwekee budget ya 300k.. kila ijumaa au jumapili service mtoto ale rahaa mzee baba 😃😃😃
Sawa tajiri, ila mie similiki biashara yeyote kubwa hapa mjini. Im a hustler so kwangu hio si ishu nyepesi.

Ila kama uko levels to this shit then fanya malkia atambe 😆😆😆
 
Back
Top Bottom