MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Nunua farasi, hana gharama ni nyasi na matibabu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenu wataalam, nataka ninunue Sedan siku chache zijazo, na gari hizo mbili zote New model Fuga (Hy51) na Crown (Grs200) ndio nimezipenda.
Ushauri wenu, ipi nichukue?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mlikuwa mnashindana?!Asee hiyo fuga ilinipita mbele ya same kuelekea Moshi…. Sikuiona tena maisha yangu [emoji23][emoji23] [emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Ha ya mawazo ya kimaskini sana kwani lazima gari uuze tubadilikeIla kwa probability mmiliki ana likely ya 90% kuiuza Crown muda wowote na mteja atampata kirahisi tofauti na ilivyo kwa Fuga.
Utakaa nalo milele?Ha ya mawazo ya kimaskini sana kwani lazima gari uuze tubadilike
sent from HUAWEI
Fuga utapata wazimu
Gari za Miaka kumi iliyopita zinakuwaje New Model?? Unajua New Models za hayo Magari wewe au unabwabwaja tu?Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenu wataalam, nataka ninunue Sedan siku chache zijazo, na gari hizo mbili zote New model Fuga (Hy51) na Crown (Grs200) ndio nimezipenda.
Ushauri wenu, ipi nichukue?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha. Operational definition ya New Model kibongobongo Ni gari ya miaka 15 iliyopita (2006)Gari za Miaka kumi iliyopita zinakuwaje New Model?? Unajua New Models za hayo Magari wewe au unabwabwaja tu?
Hata mm huwa nashngaa sana Gar ya 2005 wanaiita new model kwel!?Gari za Miaka kumi iliyopita zinakuwaje New Model?? Unajua New Models za hayo Magari wewe au unabwabwaja tu?
Intermediate modelHata mm huwa nashngaa sana Gar ya 2005 wanaiita new model kwel!?
Kuna wajuba wanakaaga na gari hadi anaanza kufanana nayo suraUtakaa nalo milele?
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenu wataalam, nataka ninunue Sedan siku chache zijazo, na gari hizo mbili zote New model Fuga (Hy51) na Crown (Grs200) ndio nimezipenda.
Ushauri wenu, ipi nichukue?
Sent using Jamii
New model unamaanisha toleo la 2021 au toleo lipi. Tuanzie hapo kwanzaWakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenu wataalam, nataka ninunue Sedan siku chache zijazo, na gari hizo mbili zote New model Fuga (Hy51) na Crown (Grs200) ndio nimezipenda.
Ushauri wenu, ipi nichukue?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina zuri ni kutaja mwaka tu au body design ya gari yani GRS180 ama GRS202 kama ambavyo Mark 2 ziliitwa GX100 ama GX110Intermediate model
Wacha wee.wote wababe hao,ila kwa mimi ntakushauri chukua toyota Crown.tena kama vipi jitwishe toyota crown Majesta alafu uone kama kuna bwege atakuzingua barabarani.