Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

wote wababe hao,ila kwa mimi ntakushauri chukua toyota Crown.tena kama vipi jitwishe toyota crown Majesta alafu uone kama kuna bwege atakuzingua barabarani.
Haha, majesta ni habari nyingine mzee. Ila ile imekaa ki-don sana.

Inafaa kuendeshwa nasio uendeshe mwenyewe

Athlete, iko fresh pia , fuga ni moja kati ya gari kali sana, kuanzia interior etc

Naona tatizo kubwa ni sio "Toyota" tuu , hivyo hata mafundi nao ni kichomi.

Ila ni gari moja tamu sana. Kwa mwendo na kutulia barabarani, ndio yenyewe.
 
Tatizo ni limit ya speed unapitwa na tukagari tudogo tudogo vya ulaya mambo ya kiboya kabisa
Kama lengo ni kutokupitwa barabarani chukua huyo mnyama
JamiiForums-1013236414.jpg
 
Back
Top Bottom