Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

Update ulichukua kitu gani kati ya Fuga na Crown
Ila Crown ile ni Benz ya Mjapan gari tamu sana kuanzia nje, ndani mpaka barabarani haina tofauti na Mercedes Benz S-Class anayoendesha ndugu yetu Alex Massawe pale Capetown
 
Hizi zinakuja kua Gx 100 zilizochangamka miaka michache ijayo.
Elfu 30 lita 10 imagine mbezi - k'koo kila siku!zishaanza kushuka bei aisee!

Screenshot_20220503-183748_Instagram.jpg
 
Update ulichukua kitu gani kati ya Fuga na Crown
Ila Crown ile ni Benz ya Mjapan gari tamu sana kuanzia nje, ndani mpaka barabarani haina tofauti na Mercedes Benz S-Class anayoendesha ndugu yetu Alex Massawe pale Capetown
Naisubiria hii kitu ishuke bei sbb ya wese niichukue na mimi nipate kuenjoy 😀 Extrovert 🤣🤣
 
Elfu 30 lita 10 imagine mbezi - k'koo kila siku!zishaanza kushuka bei aisee!

View attachment 2211215
Hahah huu ndio muda wa kununua 'majini mafuta' boss, maana yatashuka kishenzi.Uzuri Mimi hayo ndio nayapendaga.Hali ikiendelea hivi hivi nitakuja kumvua mtu kitu chenye 2uz-fe kwa Bei ya kizalendo tu.
 
Atapambana na Athlete 2GR mashine ya 3,500cc yenye 310HP analiwa vizuri tu huyo Fuga 350GT maana anaishia 280HP
maamaFuga 450 GT ni V8, horse power ya kutosha. Anakula sahani moja na Majesta, huyo ndiyo Fuga. Fuga 350GT ambayo ni 6 Cylinder, ndiye apambane na huyo Crown 6 Cylinder!
 
Huwezi kuwa na akili timamu alaf ukaendesha Crown , Alteza au Subaru. Gari hizi ni za wahuni unaweza ukajishushia heshima bure kwenye jamii
Kwenye gari za wahuni naomba iondoe hio crown hapo!

Gari wanapanda mawaziri na maofisa wa serikali Japan we unaita ya kihuni? JAPAN ni 3rd kama sio 4th ranking country katika uchumi wa dunia.
 
Back
Top Bottom