Crown majesta ni v8 si sawa kuishindanisha na piston 4 au 6
Fuga 450 GT ni V8, horse power ya kutosha. Anakula sahani moja na Majesta, huyo ndiyo Fuga. Fuga 350GT ambayo ni 6 Cylinder, ndiye apambane na huyo Crown 6 Cylinder!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crown majesta ni v8 si sawa kuishindanisha na piston 4 au 6
Naona crown bado imestick pale pale pa1 na wese bei teteCrown inayouzwa below hapo kama sio kwa mtu unayemfahamu gari ni mbovu trust me!
Inaonekana gari umeijulia ukubwani...kuna kitu kinaitwa "HKS Speed Limit Defencer" google halafu njoo usome hii post yake...tena...Speed yenyewe 180kph mwisho hilo sikubwa jinga tu
Nisome nini kwamba ni uongo ? au unajifanya unajua sana tafuta hiyo ya kwako inayovuka ambayo siyo kubwa jingaInaonekana gari umeijulia ukubwani...kuna kitu kinaitwa "HKS Speed Limit Defencer" google halafu njoo usome hii post yake...tena...
Fuga imekaa kistaarabu sana halafu haya ma crown yashakuwa mengi mjiniChukua fuga wewe achana na crown hizo gari za wahuni na walevi.
Spea zake Bei mkasi mpaka atachokaFuga imekaa kistaarabu sana halafu haya ma crown yashakuwa mengi mjini
Zipo zinazovuka mkuu... hii ni mark x ina 260kphNisome nini kwamba ni uongo ? au unajifanya unajua sana tafuta hiyo ya kwako inayovuka ambayo siyo kubwa jinga
Kuna mdau humu anamiliki Fuga.Haha, majesta ni habari nyingine mzee. Ila ile imekaa ki-don sana.
Inafaa kuendeshwa nasio uendeshe mwenyewe
Athlete, iko fresh pia , fuga ni moja kati ya gari kali sana, kuanzia interior etc
Naona tatizo kubwa ni sio "Toyota" tuu , hivyo hata mafundi nao ni kichomi.
Ila ni gari moja tamu sana. Kwa mwendo na kutulia barabarani, ndio yenyewe.
mnaomiliki gari za mzungu top speed mpaka 380 mnakuja kwa hasira baada kuona neno bwege.[emoji188][emoji188][emoji188]Mabwege wa kumzingua wapo wengi tu.
mnaomiliki gari za mzungu top speed mpaka 380 mnakuja kwa hasira baada kuona neno bwege.
Pole sana mkuu umechelewa sana kujua magari..na kuhusu speed za magariNisome nini kwamba ni uongo ? au unajifanya unajua sana tafuta hiyo ya kwako inayovuka ambayo siyo kubwa jinga
Mark X zipo nyingi hasa zile version kwa ajili ya Hong Kong ila macrown hayo hakuna labda ujiongezeZipo zinazovuka mkuu... hii ni mark x ina 260kphView attachment 2202206
Nimekusoma mkuu....Mark X zipo nyingi hasa zile version kwa ajili ya Hong Kong ila macrown hayo hakuna labda ujiongeze
Ni kituko sana. Barabara zenyewe za kukimbizana sijui ni zipi [emoji28][emoji28][emoji28]. Unakutana na mtu barabarani kakomaa akupite kumbe mwenyewe unaishia hapo mbele tu.. Mtu wa namna hii ukikutana nae either ana kiduku, kavaa suruali ya kubana kama za dada zake na zimechanika magotini.Yani kuna watu bado wananunua magari ili washindane na watu wasiowajua barabarani??
Mzee,Kuna mdau humu anamiliki Fuga.
Sijawahi ona analalamika kuhusu hiyo gari.
Yeye fundi anatoa wapi? Spea nazo anatoa wapi?
Fuga na yenyewe ya wahuniHuwezi kuwa na akili timamu alaf ukaendesha Crown , Alteza au Subaru. Gari hizi ni za wahuni unaweza ukajishushia heshima bure kwenye jamii