Mim pia nimetoa utaalam wangu upande wa design..shida ikwapi hapo?Hapa yanaitajika majibu ya kitalaamu mkuu na sio kuona kwa macho au kudhania ndio maana wengine tuna kaa kimya tunasoma ili kujifunza pia.
Hiyo ndio new model sasa. Grs200 ni ya siku nyingi kweli.Kama pesa sio tatizo (kununua na ushuru na wese) chukua Crown S220 2018 to present.
View attachment 1367364....
Mim pia nimetoa utaalam wangu upande wa design..shida ikwapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa muonekano nao unahitaj utalam?[emoji2]“Mimi sio mtaalamu wa magari..” hii ndio tatizo [emoji846]
Mim pia nimetoa utaalam wangu upande wa design..shida ikwapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuza crown kwa wakati huu sio kitu rahisi mkuu,labda uuze kwa bei ya kutupa sanaChukua Crown ndugu hutojuta hata ukiichoka kuuza ni rahisi tofauti na Fuga ambayo itakupa shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanakela sana na hiyo mitoyota yaoMibongo ilirogwa na toyota
Utasikia inauzika haraka sijui spea zinapatikana kiurahis
Sent using Jamii Forums mobile app
Toyotalism....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Watu wanakela sana na hiyo mitoyota yao
Mbimbinho,
Hapo machine ni Fuga ila kama hauna uzoefu na magari chukua tu Crown maana Fuga linataka care yahali ya juu mfano wa mjazito mwenye fuko jepesi
Mngesaidia zaidi kwa kutoa sababu kwa nini aende kwa gari hii na si ile... Ni jukwaa la wengi na elimu haina mwisho.