CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
- Thread starter
- #21
Hii sijaielewa dogo. Unajua inamaanisha nini nieleweshe
Kwamba kuna mtu atapewa kadi nyekundu, kwa upande of Juve au R Madrid
Kumbe Askari Muoga ameniingiza cha kike kubabake...
yeye kasema eti maana yake ndani ya dakika 90, mshindi apatikane.
Duuh kumbe Askari Muoga muongo hivi???