Nichague option gani kati ya hizi ili kesho usiku nipate 600,000/=

Nichague option gani kati ya hizi ili kesho usiku nipate 600,000/=

Mkuu watu wa finance wanasema, dont put all eggs in one basket.
Spre hiyo cash kwenye two options. 1 Real Madrid wins the match and both teams scores na kwenye hiyo ya Juventus.
In case any of the two comes true, unakula laki 3-3.5. Ukitoa laki yakio faida laki 2-2.5

Kuwa mwangalifu game ikisha kwa 1-0 au 2-0 utakuwa umepigwa. Utaambulia ela ndogo unayoikataa
Hii ndio shida ya kubet inapokujaga!
 
Mkuu watu wa finance wanasema, dont put all eggs in one basket. Spre hiyo cash kwenye two options. 1 Real Madrid wins the match and both teams scores na kwenye hiyo ya Juventus. In case any of the two comes true, unakula laki 3-3.5. Ukitoa laki yakio faida laki 2-2.5
Sawa kabisa, nakubali kwa ushauri huu, akiitupa yote kwenye kapu moja issue, ila akizigawanya uongo hela yarudi na hela ya nyanya ipo..
 
Kuwa mwangalifu game ikisha kwa 1-0 au 2-0 utakuwa umepigwa. Utaambulia ela ndogo unayoikataa
sawa kabisa tena, swala yeye agawanye hio laki vizuri tu, maana akishaanza kufikiria ya marudisho makubwa lazima ile kwake, na pia nakubaliana nawe, kuwafunga juve ni kazi sana, wana defense ya ukweli, magoli yaweza yasizidi 3, kumbuka walichomfanyia barca, pamoja na wale barca kuwa na strikers 3 wakufa mtu, hapa yeye atumie akili bila kufikiria ulafi..
 
Jamani hiyo option ya mechi to go to penalties je ikitokeA wakaongeza dakika 30 na mshindi akapatikana ndani ya dakika hizo na Mimi nikawa nimecheza hivo je mhindi atakuwa amenipiga?
 
Jamani hiyo option ya mechi to go to penalties je ikitokeA wakaongeza dakika 30 na mshindi akapatikana ndani ya dakika hizo na Mimi nikawa nimecheza hivo je mhindi atakuwa amenipiga?

Ndio. Utakua umeliwa
 
Hii naona imekaa poa sana... Ngoja nitupie kilo yangu hapa...
kesho kutwa asubuhuimmapemaaaa nina laki nne zangu...
Ukitoa kodi 18% VAT nabaki na 328,000/=
Inatosha hii..

400,000/= ukitoa vat (18%) inabaki 338,983...
 
Back
Top Bottom