Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

Kwa hili wafanyakazi wote na familia zao watakupa kura zote na kampeni watakufanyia kwa gharama zao.
haya majambawazi nccf na ppssf wakufilie mbali!
Wafanyakazi wa hii mifuko itabidi wakatafute kazi nyingine. Haiwezekani kijana kaacha kazi akiwa na miaka 30 umwambie asubiri hela yake akifikisha miaka 60. Huu upuuzi nitaufyekelea mbali.
 
Mimi naomba niwe campaign manager wako kanda maalumu nakuhakikishia mheshimiwa mtukufu raisi mtarajiwa utapita.

Ila mheshimiwa raisi, mbona haujawaongelea ndugu zetu wanaoishi maeneo ya vijijini huko uchumi wao wa magumashi.

Ni vipi nao tutawa 'incorporate' katika uchumi ili waweze kuwa connected na uchumi wa taifa na tuweze kufanya nao Maendeleo na kuwa nao sambamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ya kutumia K vant mchana.[emoji1]
 
Usijali kwa hilo mkuu. Wakulima ndio watakuwa matajiri wa nchi hii. Yaani mtu akisikia flani ni mkulima anaogopa. Wakulima watakuwa wanailisha dunia. Mashamba makubwa ya umwagiliaji yasiyotegemea mvua yatamilikiwa na wakulima. Kilimo cha mazao na matunda yote kitaanzishwa Tanzania. Mazao ya nafaka na matunda yatasindikwa hapa hapa nchini. Wakulima watauza product za mazao yao nchi za nje. Bidhaa za Tanzania zitakuwa kimbilio la ulimwengu.
 
Nisalimie shemeji basi
Kutazuka ile 'Rural - Urban' migration. Watalii kwa wingi kila mwaka, hehehe!
✌️
 
Yote sawa.Ila kwenye suala la kumcheka aliyevaa nguo fupi na kufungwa miaka sita jela haliko vizuri.Kosa ni kuvaa nguo fupi.
 
Yote sawa.Ila kwenye suala la kumcheka aliyevaa nguo fupi na kufungwa miaka sita jela haliko vizuri.Kosa ni kuvaa nguo fupi.
Huo ni udhalilishaji na ni shambulio la mwili. Madada zetu wanapendeza sana wakivaa nguo fupi na wanarudisha matumaini yalipotea. So serikali yangu itakuwa na zero tolerence kwenye hili kosa.
 
Nakubaliana nawewe kwenye namba 1, 4, 5 na 10
ILa 6 ni ngumu kuitekeleza. ni bora kuamu kujenga miji mipya kuliko kubomoa Kariakoo na Posta
Namba 8 sikuungi mkono, Cha bure siku zote kitabaki kuwa ghali, Suluhisho la hilo ni bima ya bei nafuu tu kwa kila mwananchi.
 
hawa wanaowafunga miaka 30 kwa kutembea na under age ni uonevu wa hali ya juu
 
hawa wanaowafunga miaka 30 kwa kutembea na under age ni uonevu wa hali ya juu
Hiyo adhabu hailingani na kosa lenyewe. Adhabu inaweza kutolewa kwa kosa la kutembea na under age lakini sio kwa ukubwa huo. Hakuna nchi yoyote duniani yenye adhabu kubwa kiasi hicho. Unapomfunga mtu miaka 30 umeshamharibia maisha yake compeletely. Kuna uwezekano mkubwa wa kufia jela au akibahatika kumaliza kifungo chake hawezi tena kufanya chochote kuyarudisha maisha yake kwenye mstari. So unaweza kuona hiyo adhabu haina ulingano na kosa lenyewe.
 
Mkuu nimesema no.8 nitaweka utaratibu mzuri wa kuchangia bila kuwaumiza wananchi.
 
konda bila shaka hujazeeka na utakuwa hujui mzee anashida zipi kifupi usicheze na uzee hifadhi za jamii ni muhimu sana, na kushauri usigombee huna exposure.
 
konda bila shaka hujazeeka na utakuwa hujui mzee anashida zipi kifupi usicheze na uzee hifadhi za jamii ni muhimu sana, na kushauri usigombee huna exposure.
Mkuu nchi ikiwa ya asali na maziwa kila familia itakuwa vizuri kiuchumi. Hizi njaa njaa unazoziona kwenye jamii hazitakuwepo. Wewe huoni wastaafu wanavyoteseka pamoja na hizo hifadhi kuwa nazo?
 
Raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi raisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…