stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Wewe unajua mateso wanayopata wastaafu kufuatilia hela zao? Unayajua mateso wanayopata vijana walioachishwa kazi kabla ya umri wa kustaafu kupata hela zao?
Sasa ulitakiwa kusema namna gani utaboresha sio kufuta. Hvi unadhani majambazi wengi wanatokea wapi?