Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

Hizo gharama za kuivunja Kariakoo na Posta na kuzijenga upya (kama ndiyo matatizo ya Wananchi ) kwanini usizitumie kujenga Kariakoo na Posta zingine mpya na nyingi mahali kwingine?
 
Tatizo mkipewa mnasahau kila kitu ,hata JIWE alikuwa na sera nzuri kwenye kampeni za 2015, alisema atapandisha mishahara lakini mwaka wa 6 huu hakuna kitu.
Kwa kifupi ni kuwa hakuna chama chenye sera mbaya. Hizi ahadi za kwenye makaratasi tu mbona mtu anaweza kuandika ahadi nzuri kabisa mpaka mtu akisoma anakuwa kama ameshapata hayo maendeleo? Tatizo liko kwenye utekelezaji. Siasa imejaa matapeli na utapeli sana.
 
expand...
Mimi kwenye sifa ya kuwa Mbunge minimum qualification of education iwe degree. Kwa katiba yetu, unapochagua Mbunge ni kama kuchagua mtu anayekwenda kuwa Waziri. Hivyo, sifa ya kuwa Mbunge iwe ni degree. Form six na diploma ziwe ni sifa za kuwa Diwani. Darasa la 7 na form four wabaki kuwa wapiga kura.
 
Asante konda msafi kwa no 5 maana tunamuenzi shemu yetu Khumbu ( R.I.P) tulikupenda sana & tutakukumbuka daima .
But Mh utagombea kupitia chama gani, vipi CHAUMA hakikufai?
 
Kwa hoja hizi ukiwa Hata Diwani utakua ni mzigo mzito

Ufai hata udiwani hizo project kuzivunja unajua hasara zake? Mashirka ya jamiii unajua yameajiri watu wangap?

Eti utaivunja kariakoo na Posta yaan uvunje miji ya zamani?

Kwanini usiinenge Posta mpya na Kariakoo mpya bagamoyo🤣 Ungetutia hasara wewe
 
Wewe Massawe, tulia nikujengee Tanzania mpya. Kwa nini Kariakoo haikujengwa huko Bagamoyo?
 
1. Mifuko ya hifadhi ya jamii NSSF na PSSSF nitaifyekelea mbali
Michango ya wafanyakazi itaenda kwenye account zao binafsi badala ya hii mifuko ya hifadhi ya jamii. Mfanyakazi atakuwa na uhuru wa kutumia hela yake muda wowote anaotaka. Hakuna mambo ya kumpangia mtu lini aitumie hela yake.
Kwa hili wafanyakazi wote na familia zao watakupa kura zote na kampeni watakufanyia kwa gharama zao.
haya majambawazi nccf na ppssf wakufilie mbali!
 
Hizo gharama za kuivunja Kariakoo na Posta na kuzijenga upya (kama ndiyo matatizo ya Wananchi ) kwanini usizitumie kujenga Kariakoo na Posta zingine mpya na nyingi mahali kwingine?
Ha ha ha aaa!
====
Nina wasi wasi sana, kwa sababu unaweza kujibiwa kuwa eti, " ujiheshimu, ujiheshimu, wewe vipi bwana!!"
 
Back
Top Bottom